Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, najaribu kuvaa viatu vyako naona una mateso mno. Mfano, Nilienda safari, tuliagana, ile narudi usiku huo akahama chumba, nilivomuuliza akasema naona una mpango wa kuniua ( yeye ni mlokole ) eti ameonyeshwa na Mungu. Ikaisha miezi 3 akiwa amenihama, anapika anakula na watoto wakati mletaji wa chakula ni mimi, hanifulii nguo, hanisalimii...hatukuwa tumegombana kabisa. Mwisho ananiambia hanitaki..wakati toka nimwoe mi ni mfanyakazi ye ni mama wa nyumban, nimejenga nyumba 3 harafu anasema niondoke kwangu nimwache yeye na watoto. Ananidharau, kunikejeri na kunitukana matusi ya nguoni mbele ya watoto. Mungu alinifunika, sjampiga katika yote hayo. Mwisho aliwaambia wazazi wake kuwa mi sio mme wake. Nimempa talaka na sasa ananitaka nirudi nyumbani...Wanawake kuna mahali wakiwa na michepuko huwa wanachizika sana, sometimes huwa hawajui hata wanalolitafuta maishani mwaoDaah pole sana mkuu mimi nimemvumilia kanitesa sana kuna vitu nikiandika huku hamtoamini
Karibu mkuu!Thank you mkuu
Usije kuishi na mwanamke anajiita mlokole hawa fisi ni tabu tupu.Pole, najaribu kuvaa viatu vyako naona una mateso mno. Mfano, Nilienda safari, tuliagana, ile narudi usiku huo akahama chumba, nilivomuuliza akasema naona una mpango wa kuniua ( yeye ni mlokole ) eti ameonyeshwa na Mungu. Ikaisha miezi 3 akiwa amenihama, anapika anakula na watoto wakati mletaji wa chakula ni mimi, hanifulii nguo, hanisalimii...hatukuwa tumegombana kabisa. Mwisho ananiambia hanitaki..wakati toka nimwoe mi ni mfanyakazi ye ni mama wa nyumban, nimejenga nyumba 3 harafu anasema niondoke kwangu nimwache yeye na watoto. Ananidharau, kunikejeri na kunitukana matusi ya nguoni mbele ya watoto. Mungu alinifunika, sjampiga katika yote hayo. Mwisho aliwaambia wazazi wake kuwa mi sio mme wake. Nimempa talaka na sasa ananitaka nirudi nyumbani...Wanawake kuna mahali wakiwa na michepuko huwa wanachizika sana, sometimes huwa hawajui hata wanalolitafuta maishani mwao
Kuna watu unataka kuwachokoza hapa. HahahaaaaKwani kataja kabila lake?
Tangaaaa kunani paleeehNkundi Mzutu Wa Baiskeli Anapogonga Nyundo Wahindi
Wasema Ni Kelele, Mtafutieni Nyundo Ya Silencer Aondoe Hizo Kelele
Anzisheni mnasubiri nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaonyesha humtombi vizuri mwanamke anayegegedwa vizuri huwa hana hasira na gubu aisee jirekebishe kitandani bwana.
N. B wanaume huku mna nini kutwa kulia lia na sisi wanawake tukianzisha mada za kutoa moyoni siitabidi JF ianzishe jukwaa la stress,na majonzi
Tatizo lako itakuwa hukumuonyesha kuwa anytime unaweza vuta mwanamke mwengine. Dawa ya hawa viumbe wee tafuta mbususu mbichi mbichi tuu.Wanasema kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa.
Nipo kwenye ndoa nae mwaka wa sita huu lakini sasa ni mtihani mtupu. Mke wangu ana kiburi cha asili, gubu na wivu wa kijinga sana na kwenye ndoa tuna watoto watatu.
Hakuna anachokosa natimiza wajibu wangu kama mume, sijikwezi lakini ukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake walio kwenye ndoa wanaopata kila hitaji bila kusita au kucheleweshewa.
Lakini hataki kubadilika ana mambo ya kipumbavu kabisa hapa naandika nikiwa na hasira sana nitamuacha tu nioe mke mwingine kama mke wa pili.
[emoji23][emoji23][emoji23]Anzisheni mnasubiri nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini ulioa mwanamke wa nyumbani, hao huwa ni rahisi kuchepuka maana hawako busy na Wana nyegezi mda wote pia ni rahisi kudaganyika na Hawa manabii fake na kutekwa mazima, next time oa mke busy atakuwa anachoka anasahau kuchepuka maana wewe huko busy na kazi humushughulikii vya kutoshaPole, najaribu kuvaa viatu vyako naona una mateso mno. Mfano, Nilienda safari, tuliagana, ile narudi usiku huo akahama chumba, nilivomuuliza akasema naona una mpango wa kuniua ( yeye ni mlokole ) eti ameonyeshwa na Mungu. Ikaisha miezi 3 akiwa amenihama, anapika anakula na watoto wakati mletaji wa chakula ni mimi, hanifulii nguo, hanisalimii...hatukuwa tumegombana kabisa. Mwisho ananiambia hanitaki..wakati toka nimwoe mi ni mfanyakazi ye ni mama wa nyumban, nimejenga nyumba 3 harafu anasema niondoke kwangu nimwache yeye na watoto. Ananidharau, kunikejeri na kunitukana matusi ya nguoni mbele ya watoto. Mungu alinifunika, sjampiga katika yote hayo. Mwisho aliwaambia wazazi wake kuwa mi sio mme wake. Nimempa talaka na sasa ananitaka nirudi nyumbani...Wanawake kuna mahali wakiwa na michepuko huwa wanachizika sana, sometimes huwa hawajui hata wanalolitafuta maishani mwao
Yes stress tupa kule za kuletwa na watu wazima wenzangu I have come to realize happiness ni internally zaidi kuliko ku depend watu, sikuhizi niko stress freeNakupenda bure yaani unakuwa muwazi.
Hata mie napenda Sana mtu anayejiachia na anafanya Kama hitaji la mwili wake ulivyo na hitaji
Sasa na wewe mbona unakuwa kama una akili za mtoto wa darasa la 2, na ni mtu mzima? Mbona unashindwa kumalizia simulizi yako watu wajifunze?Pole, najaribu kuvaa viatu vyako naona una mateso mno. Mfano, Nilienda safari, tuliagana, ile narudi usiku huo akahama chumba, nilivomuuliza akasema naona una mpango wa kuniua ( yeye ni mlokole ) eti ameonyeshwa na Mungu. Ikaisha miezi 3 akiwa amenihama, anapika anakula na watoto wakati mletaji wa chakula ni mimi, hanifulii nguo, hanisalimii...hatukuwa tumegombana kabisa. Mwisho ananiambia hanitaki..wakati toka nimwoe mi ni mfanyakazi ye ni mama wa nyumban, nimejenga nyumba 3 harafu anasema niondoke kwangu nimwache yeye na watoto. Ananidharau, kunikejeri na kunitukana matusi ya nguoni mbele ya watoto. Mungu alinifunika, sjampiga katika yote hayo. Mwisho aliwaambia wazazi wake kuwa mi sio mme wake. Nimempa talaka na sasa ananitaka nirudi nyumbani...Wanawake kuna mahali wakiwa na michepuko huwa wanachizika sana, sometimes huwa hawajui hata wanalolitafuta maishani mwao
Sidhani mwanamke anayefanywa vizuri hawi mkorofi kabisa, pia hapa umeanzisha one sides story tu na yeye akiitwa hapa atatapika nyongo yake, wanawake hatuanzagi kubadilika ghafla tu bin vuuHuwa nampiga show hadi anaomba "poo" yeye mwenyewe katika hii idara nipo vizuri sana madam
Wewe mtoto visa sana 😀 😀Kwanini ulioa mwanamke wa nyumbani, hao huwa ni rahisi kuchepuka maana hawako busy na Wana nyegezi mda wote pia ni rahisi kudaganyika na Hawa manabii fake na kutekwa mazima, next time oa mke busy atakuwa anachoka anasahau kuchepuka maana wewe huko busy na kazi humushughulikii vya kutosha
It's a bad story for me brother. Ipo siku nitaianzishia uzi. Sio story nzuri kwanguSasa na wewe mbona unakuwa kama una akili za mtoto wa darasa la 2, na ni mtu mzima? Mbona unashindwa kumalizia simulizi yako watu wajifunze?
Ulikuwa ukimridhisha kimapenzi kama inavyotakiwa?
Malizia nini kiliendelea, huo ndio usomi. Sio una-hang tu na kuwapa wasomaji vidokezo na maudhui nusu nusu.
Asante sana broo hawa viumbe we acha tu nimeamua akae huko kwao tu kwa sasa akajifunze adabu wala sina mpango wa kumrejeaPole, najaribu kuvaa viatu vyako naona una mateso mno. Mfano, Nilienda safari, tuliagana, ile narudi usiku huo akahama chumba, nilivomuuliza akasema naona una mpango wa kuniua ( yeye ni mlokole ) eti ameonyeshwa na Mungu. Ikaisha miezi 3 akiwa amenihama, anapika anakula na watoto wakati mletaji wa chakula ni mimi, hanifulii nguo, hanisalimii...hatukuwa tumegombana kabisa. Mwisho ananiambia hanitaki..wakati toka nimwoe mi ni mfanyakazi ye ni mama wa nyumban, nimejenga nyumba 3 harafu anasema niondoke kwangu nimwache yeye na watoto. Ananidharau, kunikejeri na kunitukana matusi ya nguoni mbele ya watoto. Mungu alinifunika, sjampiga katika yote hayo. Mwisho aliwaambia wazazi wake kuwa mi sio mme wake. Nimempa talaka na sasa ananitaka nirudi nyumbani...Wanawake kuna mahali wakiwa na michepuko huwa wanachizika sana, sometimes huwa hawajui hata wanalolitafuta maishani mwao
Ila hapa kuna shida...ina maana hakuna love Ila no kuogopa talaka na maisha baada ya talaka amaKuna jamaa yangu, mke wake alimsumbua sana, nilimpa ushauri ambao leo ananishukuru sana, nilimwambia aende mahakani afanye process zote za talaka huku anamuangalia mwenendo wake, alifumgua shauri la kumpa talaka mke wake, mke wake hakuamini siku analetewa wito wa kufika kwenye shauri, alilia sana.
Alipungua uzito mpaka huruma ilinijia ila nilimwambia dogo komaa hawa watu sio wakiwaonea huruma kirahisi hivyo, shauri liliendelea mpaka talaka ikatoka siku hiyo ilikuwa ngumu sana kwa mwanmke alizimia, hakuamini walikuja ndugu kibao wa mwanamke kumuombea msamaha.
Basi tuliongea na hakimu tukamweleza tunaomba mahama ihold hukumu wakati tunafuatilia mwenendo wa mke wake, mahakama ilikubali, mpaka leo mwamke amebadilika sana sana.
Sikushauri sana hili ila wewe angalia la kufanya
Ila hapa kuna shida...ina maana hakuna love Ila no kuogopa talaka na maisha baada ya talaka amaKuna jamaa yangu, mke wake alimsumbua sana, nilimpa ushauri ambao leo ananishukuru sana, nilimwambia aende mahakani afanye process zote za talaka huku anamuangalia mwenendo wake, alifumgua shauri la kumpa talaka mke wake, mke wake hakuamini siku analetewa wito wa kufika kwenye shauri, alilia sana.
Alipungua uzito mpaka huruma ilinijia ila nilimwambia dogo komaa hawa watu sio wakiwaonea huruma kirahisi hivyo, shauri liliendelea mpaka talaka ikatoka siku hiyo ilikuwa ngumu sana kwa mwanmke alizimia, hakuamini walikuja ndugu kibao wa mwanamke kumuombea msamaha.
Basi tuliongea na hakimu tukamweleza tunaomba mahama ihold hukumu wakati tunafuatilia mwenendo wa mke wake, mahakama ilikubali, mpaka leo mwamke amebadilika sana sana.
Sikushauri sana hili ila wewe angalia la kufanya