Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

All is vanity...!
 
Hivi huu UCHAWI UMEUELEWA?
Yaani NDOA imemletea MAJANGA halafu ANATAKA KUOA TENA...!!!

Kuna RAIA WABISHI.

Tunawaambia MSIOEEE ila HAWAELEWII.

Kilichobaki unawaangalia na kucheka "Hiii BAGOSHAAAA"

#YNWA
Mkuu ila huwa unatukandia sana tuliooa.

Pamoja na yote, sisi tuliooa ndio tunawatengenezea minofu ninyi ambao hamtaki kuooa. Unapotukandia usisahau hili
 
Ha ha ha!
 
Unaweza kuoa ukakuta huyo uliyemuoa ndiye mwenye Tabia mbaya kuliko huyo wa kwanza, alafu kuoa mke wa pili ni dhambi mbele za Mungu, unajikatia tiketi ya moja kwa moja kwenda jehannum ya moto! Hapo mwenye matatizo ni wewe wala sio huyo mwanamke , mwanamke yupo chini mwanaume siku zote, umesema unamtimizia kila kitu hapo ndo kosa lako lilipo mkuu! Mwanamke lazima kuishi Naye kwa akili mno! Na ujitahidi asikusome jinsi ulivyo! Wewe huyo mwanamke wako umemzoesha vibaya na amekusoma kuwa wewe ni baba usiye na maamuzi, huna msimamo, mpole mno, hivyo yeye amechukua nafasi yako, ukiwa mwanaume lazima uweke sheria za nyumba yako au familia yako na zifuatwe mkuu!! Haijalishi ni mwanamke wa namna gani akikuona wewe hutabiriki atakuheshimu tu! Mfano
1;Mwanamke ana marafiki wa ajabuajabu na wewe upo tu unaangalia
2: mwanamke kila mara anaenda kwao au kwa ndugu zake hili ni tatizo kubwa mkuu ukiliruhusu tu umeisha
3: mwanamke kila sherehe anaenda hata sherehe ambazo hazina maana anaenda ukimruhusu mwanamke wako kufanya hivyo umeisha mkuu
4: vikundi mbalimbali, mfano vikoba hivyi vikundi ni vizuri lakini ukimwendeleza mke wako kwa kila kikundi anaingia umeishi mkuu
5: jitahidi kufanya kile unachopenda wewe hata kama yeye hataki mzoeshe hivyo mfano mda wa kurudi nyumbani
6: sio kila hela Akiomba lazima mpe zingine jaribu kumute alafu unakuja unampa siku ambayo hajakuomba!
Alafu mkuu Simamia sheria zako! Wanawake wote wanafanana tatizo ni uongozi tu wa mwanaume!
 
Inaonyesha humtombi vizuri mwanamke anayegegedwa vizuri huwa hana hasira na gubu aisee jirekebishe kitandani bwana.
N. B wanaume huku mna nini kutwa kulia lia na sisi wanawake tukianzisha mada za kutoa moyoni siitabidi JF ianzishe jukwaa la stress,na majonzi
 
Kama chanjo au sio ?🤔
 
Hii itakusaidia kidogo
 
Umeolewa ?

Tuanzie kwqnsa hapa?

Isijekuwa wewe ni wale wale bado mnachezewa na kuachwa na wanaume
 
Tua huo mzigo fasta
Your browser is not able to display this video.
 
Tua huo mzigo fastaView attachment 1963352
 
Ndoa za siku hizi watu huchokana haraka sana kwa sababu wana ndoa wengi wanalala kwenye kitanda kimoja tangu January mpaka December.
Tangu nakua, kwenye chumba cha wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili. Baba chake, mama chake. Yani hii nadhani husaidia kumuona mwenzako 'mpya' wakati unapojumuika naye.
Tangu yaanze kuingia haya mavitanda ya 'sita kwa sita' nadhani hapa ndipo ndoa nyingi zilipoanza kuingia shubiri.
Hata pilau japo tamu, ukifungiwa nayo chumbani tangu asubuhi mpaka jioni, itakuboa tuu.
Wanandoa wanatakiwa wabadilike. Wapunguze kuwa karibu sana wakati wote. Hii hufanya watu kuchokana haraka na kupelekea ndoa nyingi kuvunjika mapema.
Huwa nawaambia vijana, ukitaka ndoa yako idumu, ufurahie tendo na kupunguza kuchepuka, lala kitanda tofauti na mwenzi wako siku zote isipokuwa tu pale mnapohitajiana kujumuika.
 
Sasa mke wa pili si ndio unaongeza matatizo? Huyo mmoja anakusumbua unataka mwingine wa nini?
 
Umeolewa ?

Tuanzie kwqnsa hapa?

Isijekuwa wewe ni wale wale bado mnachezewa na kuachwa na wanaume
Mimi sichezewi nafanya mambo kwa starehe zangu za kukidhi haja ya moyo na mwili wangu, pia furaha yangu ni internally haitegemei watu wengine Ili ni enjoy.
If you know you know
 
Niko hapa nikitizama jinsi malaika wa kiume hapa duniani wakilalamika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wanaune woote wamegeuka malaika.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi sichezewi nafanya mambo kwa starehe zangu za kukidhi haja ya moyo na mwili wangu, pia furaha yangu ni internally haitegemei watu wengine Ili ni enjoy.
If you know you know
Ndio maana nikataka kujua Marital status yako kabla kabla hujatoa ushauri wa masuala ya ndoa!

Je umeolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…