Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Napinga hoja
 
Si tunajionea ndoa nyingi zina migogoro na nyingine zimeshindwa kudumu halafu watu bado wanalazimisha wenzao waingie? Tunadanganyana eti ndoa tamu zingekuwa tamu kungekuwa na migogoro na zingeshindwa kudumu?
Amen.

#YNWA
 
Inamaana hzo tabia ameanza kuonesha baada ya kuzaa tena watoto watatu wote....?
Au ulikuwa unajifariji hapo kabla kwamba atabadirika...?
 
 
vanity...!

History and Etymology for vanity


Noun

Middle English vanite, borrowed from Anglo-French vanité, borrowed from Latin vānitāt-, vānitās "emptiness, lack of judgment, foolish pride," from vānus "empty, lacking content" + -itāt-, -itās -ITY — more at WANE entry 1


Imebidi nimchekie meriam anasemaje
 
Mimi sichezewi nafanya mambo kwa starehe zangu za kukidhi haja ya moyo na mwili wangu, pia furaha yangu ni internally haitegemei watu wengine Ili ni enjoy.
If you know you know
Afu wewe ni mZuri yaani ukiamua kuliwa unaliwa bila ya kusukumizwa na msukumo na pesa ama nakosea kukuelewa
 
Afu wewe ni mZuri yaani ukiamua kuliwa unaliwa bila ya kusukumizwa na msukumo na pesa ama nakosea kukuelewa
Yes hyo ipo lakini why uwe na baby yeye ana taka kwako more ila yeye hataki kutoa tu, Sasa huyo ni mwanaume kweli mpenda kitonga maana mkiwa na watoto anaweza asiwe responsible kisa kupenda kitonga wallah, atleast mtu ujitoe na sio kwamba hana basi tu naona ni mchoyo flani.
 
Pole sana, inawezekana umeandika kwa hasira, utakapotulia hebu zungumza na mkeo kuhusu kero zako na namna unavyokwazika na tabia yake, hapa huwezi kupata solution sanasana wengi watakushauri kutafuta mchepuko au kumuacha mkeo kitu ambacho ni hatari kwa watoto wenu na ndoa yenu

Kama mmeweza kuzaa watoto watatu, hakuna jambo lisilozungumzika kati yenu, mambo mengi uliyoyataja hapo yanarekebishika either the hard way or the easiest way,zungumza nae kwa uwazi na upendo. wewe ni mwanaume wakati mwingine unatumia mamlaka yako kama mume kukomesha baadhi ya tabia

Kama unampenda mkeo, hayo mapungufu madogomadogo yarekebishe muendelee kulea watoto wenu.pengine hata wewe una mapungufu yako ila mkeo anayavumilia
 
Kwahio unatetea kutoachana? Ndoa nzuri ni ile ya co-parenting tu kwa miaka ya sasa. Mke akae kwake na wewe ukae kwako muwe mnazaa na kulea tu ili kuepusha kero [emoji28] in case ukipata mwanamke atakaelikubali hili ni raha sana!
Kule nchi za magharibi Kuna ndoa za mkataba[emoji34]

Sikatai kuachana lakini kuwe na sababu za msingi maana madhara yatawakuta watoto Moja kwa Moja.

Mleta mada hayupo wazi

Hicho ulichoeleza hujaelezea watoto watalelewa vipi baba akae kwake na mama akae kwake watoto itabidi wachague wakakae wapi! huoni utasababisha usumbufu kwa watoto ambao badae utasababisha matatizo makubwa tofauti na mkikaa pamoja na mkawalea watoto wenu pamoja?
 
Watoto wanakaa kwa mama, weekends wanaenda kwa baba au muda wowote baba yao akiwa free anakuja kuwachukua! Wanakuwa na free access na wazazi wote tu japo nyie wazazi ndio mnakuwa mmejilimit kuishi under one roof!

Kama mtaendelea na mapenzi its okay ila kila mtu akae kwake tu ibaki uhusiano wa kutembeleana kama mlivyokuwa wachumba. Kila mtu awe responsible na maisha yake tu kama kawaida.

Kinachoharibu watoto ni uswahili wa mama kuanza kuwajaza ujinga watoto kuwa wamchukie baba yao ilihali mlishindwana nyie kama nyie...It has none to do with the Children kabisa.
 
Haya dada cariha nakubali Sana sema tu sijawahi kukuona.
Kawaida mwanaume akuzidi ununue kiwanja mie nijenge
 
Mkuu watoto mtawasumbua tuu hawatopata malezi Bora imagine mtoto anakaa kwa mama alafu anapata baba mpya na akienda kwa baba anatambulishwa mama mpya matokeo yake mtawajengea chuki watoto wamuone mzazi mmojawapo hafai na hii ndo sababu ya watoto wa mitaani, wezi, vibaka, majambazi, machangudoa, mateja ukichunguza haya makundi majority walilelewa na mzazi mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…