Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 247
Napinga hojaKama umeshindwa kuvumilia udhaifu wake amini nakuambia utaoa kila mwaka na ipo siku utatamani umrudie hakuna mwanadamu asiye na kasoro, utakaye muoa atakuwa hana kiburi ila ni mzinzi, utamwacha utaoa mwingine asiye na kiburi Wala uzinzi ila ni mchoyo na mchafu, utamwacha utaoa mwingine hadi utakufa una msururu