Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Hamna hizo mambo mnakubaliana, nina mfano wa watu wanaoishi hivyo yani watu wenu mnakutana nao huko huko ushenzini ila sio kuwaleta nyumbani! Uzuri ni nje ya nchi sio bongo so its very practical na wote ni waelewa.

Wanalea vizuri tu baba anawaletea wanae gifts! Anaenda nao Parks au Malls kwenye matembezi life is good bila kustresishana kijinga. Mama nae yuko responsible kuhakikisha watoto hawakosi kitu. Ile life style yao ni nzuri sana japo kibongo bongo watu wana matabia ya ajabu mtu atataka alete hawara wake ndani mbele za watoto yani tafrani.

Ma hawara unakutana nao kwa siri kiasi hata watoto hawajui. Life is less stressing kuliko kubanana kuanza kukerana na mambo ya ajabu ajabu!
 
Naomba nikulipe kiasi fulani cha pesa ambacho utahitaji ili ukamfundishe huyo jamaa namna ya kumshughulikia mke wake. Kadhalika nipo tayari gharama za malazi na chakula ili kufanikisha hilo zoezi.
 
Sawa unaweza mpenda sana tena kwa dhati ikawa ndo fimbo wanawake hawana fomula
Ukimpenda mwanamke hawezi kukudharau ni utii mwanzo mwisho ila usipompenda ndiyo utegemee kila rangi
 
Kama watoto wote watatu ni wakwako huyo mwanamke usimwache,
Mlipotoka ni mbali saana mpaka kufika hapo

Najua unavyoumia mzee mwenzangu lakini kumbuka na wewe una madhaifu yako hakuna aliyeumbwa amekamilika
lakini mama mtu kayabeba Kama yalivyo

Vumilia, penda ,heshimu, huyo mke naamini yuko vzr kuliko kwenda kuanza upya
 
Kama ni nje ya nchi basi sawa

Nilizungumzia kwa hapa bongo ambapo kutengana kwa wazazi ni shida kwa watoto.

Huko mbele wanajua nini maana ya malezi.
 
Sema hii dunia ilivyo ina maajabu unaweza kukuta yote anayofanya mke wako chanzo ni wewe unakosea sehemu ndogo sana wenzio wanapopatia, dunia bila ujinga ingependeza zaidi.
 
Umeeleza mambo ya msingi sana yaani

MÊmENtO HoMO
 
Brother, just move on immediately. Don't be inactive in connection to ongoing situation. Lemme remind you that Life is too short to be stressed.

There's no need of having a moronic woman in your life. A woman who doesnt respect you, your hustle etc. We do really deserve the best brother but not what you are going through.

Regarding the issues, let her stay with them but make sure you support them accordingly.
 
Afu c6 Kama nakuzimikia huko uliko. Ujumbe wako ni murua kabisa.
Pamoja na kugegedwa vizuri kushiba pia ushibe.
So unaposema uto. Mb we vizuri kumbuka iyo ni furaha unaitafuta tokea nje ama nakosea
 
Afu c6 Kama nakuzimikia huko uliko. Ujumbe wako ni murua kabisa.
Pamoja na kugegedwa vizuri kushiba pia ushibe.
So unaposema uto. Mb we vizuri kumbuka iyo ni furaha unaitafuta tokea nje ama nakosea
[emoji23][emoji23][emoji23]eti unanizimikia kuhegendewa ni hitaji la mwili ka msosi so to some extent ni muhimu
 
Shika dini yako vizuri vitu vyote vitakuwa sawa!Hutaona thamani ya dunia.Ichukie dunia mambo yote yatakaa vizuri.Ione dunia kama njia ya kupita!
 
Ulimuoa Bikra?Joka jeusi ndugu yako anakuita njoo tafdhali!
 
Hata ukiambiwa mara trillion usikosee kuoa yani ni must utakosea tu tena ukijifanya makini zaidi ndiyo unakosea big time yani unakuja pata mtu atakuletea matatizo balaa sababu sisi sote kila mmoja wetu ameputia makuzi tofauti, tabia tofauti nk lazima kuwe na mapungufu so ili muwezi kuishi ni lazima mmoja ajishushe tu
 
Tafuta chombo kingine mkuu, kuna wanawake wenzake wanatamani wapate mume kama wewe
Yupo kwao sahivi navyoongea hapa nimemuambia akae huko kwao hadi siku atakapobadilika na asirudi tena kwangu hadi siku atakapojifunza watoto napambana nao mwenyewe wala sio shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…