Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hamna hizo mambo mnakubaliana, nina mfano wa watu wanaoishi hivyo yani watu wenu mnakutana nao huko huko ushenzini ila sio kuwaleta nyumbani! Uzuri ni nje ya nchi sio bongo so its very practical na wote ni waelewa.Mkuu watoto mtawasumbua tuu hawatopata malezi Bora imagine mtoto anakaa kwa mama alafu anapata baba mpya na akienda kwa baba anatambulishwa mama mpya matokeo yake mtawajengea chuki watoto wamuone mzazi mmojawapo hafai na hii ndo sababu ya watoto wa mitaani, wezi, vibaka, majambazi, machangudoa, mateja ukichunguza haya makundi majority walilelewa na mzazi mmoja.
Wanalea vizuri tu baba anawaletea wanae gifts! Anaenda nao Parks au Malls kwenye matembezi life is good bila kustresishana kijinga. Mama nae yuko responsible kuhakikisha watoto hawakosi kitu. Ile life style yao ni nzuri sana japo kibongo bongo watu wana matabia ya ajabu mtu atataka alete hawara wake ndani mbele za watoto yani tafrani.
Ma hawara unakutana nao kwa siri kiasi hata watoto hawajui. Life is less stressing kuliko kubanana kuanza kukerana na mambo ya ajabu ajabu!