1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hii lafudhi ya usukuman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikuoe Mimi, nitakuwa nakukabidhi Mshahara wangu wote.Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Kabisaa aniiPole Sana halafu mbona waume wazuri na wastaarabu tupo!,sema ndo tumeshawahiwa..[emoji16]
Huyu mwanamke ni mlalamishi sana. Muda wote anawaza tu kuwalaumu wengine huku akitaka kutuamisha kama yeye ni malaika vile.Dada umeongea kwa hasira sana!!
Any way ndo mvulana wako uyo pambana nae!
Huyo alikuwa baba yangu nakama unataka ushauri ni pm tuliteseka sana sie sio siri wao wanalishwa wanabembelezwa wanapewa ada za shulw pocketmoney haya yote.Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
Kweli kabisaKosea yote usikosee mke wa kuowa
Mfano tu uyu mtoa mada wengine wazazi wetu especially mama wameishi kwa shidah sana ili tusome tufanikiwe leo unafanikiwa unataka wew uishi vzr kabla ya yeye.ujui mama kapigana Vita gani na mimi.mama mzazi anastaili raha zote kabla ya kupata raha wew mke
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mh mambo haya yA social media khaa.Jacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!
DAdekiJacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!
siku ile amekuja babako kutoka Kenya, uliingia bafuni ukaacha simu yako wazi, nikaingia n so ikajua hii avatar yako usibishe huyu ni wewe tu! mbona ndugu zako wanakuja? wanafanya watakavyo? najua unataka kuniendesha na hii ni tabia ya mama yako mzazi !!
km siyo kweli kwa nini Mama yako ali muacha Baba yako ghafla wakt mkiwa wadogo? akazaa kwingine?? kuumbe ndo mambo ya kijinga km haya! sikufichi umefuata tabia ya Mama yako na mie usipokaa vizuri ntakuacha km ulivoachwa na hao wengine!
Kwanza ulinidanganya umepewa Talaka na Mumeo wa ndoa kumbe hamna kitu!, huyu mtoto wako wa pili unaendaga kwa Baba yake kwa kificho na nyumba naijua usibishe, unasingizia eti uko zamu Nite shift, kuumbe kamaba tu! na ndo tabia yako!
Nimesikia una katabia kabaya hao waliotangulia unawafanyiziaga kizizi kazi zao ziharibike, ili uonekane wewe ndo mwenye nyota njema usibishe tulisha gundua haya sasa kwa nini mamangu asje kwangu? unaogopa nini km siyo kugundulika uchwi wako?
Huko ulikotoka walikushutumu uchawi, na leo unamuogopa Mama sababu alisha jua una kaasili hako!... mbona wewe nikitaka huduma ya gari unasema niende kuchukua kwenu? na mie hela kachukue kwa Mama yangu unaanza kulia lia! ngoma si droo!
Unataka Mama angu aondoke uanze kunilisha midawa Nasema Mama haondoki na mie ndo nalipa kodi ukiona vipi anza wewe!! unako jua km unarudi kwa mumeo sawa! sina kinyongo,
najua sana unaendaga, kumpa jamaa asafishe rungu mpka wkt mwingine mnagombana, lkn poa tu! nione mjinga ila yote yana mwisho, hela yangu ndo inakufanya bado upo upo! umeona ni bora JF wakupe suruhisho?
ndo maana ulikimbiwa na waume zako, kumbe mchezo wenyewe ndo km huu!! sema ukweli Jack acha rongorongo! Baba yake huyu mtoto wako wa mwisho huyu, yuko wapi? huna hata mawasiliano nae? why?? mjitabia! nimechukia sana kwa kweli, na hii naaifadhi,
ukiliamsha tu nampa mpaka Mama yako aone! Umeweka wazi na mie naweka wazi !! si umeyataka? hujatulia wewe nakwambia ...
🤣🤣Njoo nikuoe Mimi, nitakuwa nakukabidhi Mshahara wangu wote.
🤣🤣 Duh aiseeJacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!
si
Kumbe nimeshaolewa na Mimi sijui🤣 sikujua Kama inawezekana🤣Jacquiline hivi wewe Mwanamke una akili timamu kweli?? umeamua kunianika humu ili iweje sasa? umeshindwa hata kuniita tuyamalize? mbaya zaidi unatumia jina lako halisi!! Nilisha gundua kitambo humu JF ni memba japo ulikataa! umo humu kitambo!
🤣Kmeumana kma n kweli maan wabongo htushindwi kujiita mme wa Jacky hta htumjui anyway ngoja nkae pembeni[emoji3571][emoji3571][emoji3571]
Mwnyewe nimeshangaa