Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

vijana someni ili muwe na upeo mpana na usifikilie kuajiliwa maana nafasi za ajira ni ndogo kuliko wahitaji.....!!!!
 
jirani yako mimi,nakwenda udsm mungu akipenda,ila naipenda ARU hakuna course za njaa hapo.
 
Kozi rahisi kupata kazi ni kusomea uhasibu,halafu ukishamaliza jiandikishe kufanya mitihani ya CPA.

Kamwe huwezi kukosa kazi.
 
uhasibu ni rahisi kupata kazi,lakini pia idadi kubwa ya watu wanaoongoza kufukuzwa kazi pia ni wahasibu,so zingatia hilo kijana.....
 
Kozi rahisi kupata kazi ni kusomea uhasibu,halafu ukishamaliza jiandikishe kufanya mitihani ya CPA.Kamwe huwezi kukosa kazi

kuna siku miezi kadhaa imepita hapa hapa jf kuna mtu alikuwa anaomba msaada wa kazi na hiyo CPA anayo hiyo ni baada ya kutafuta sana ajira, hiyo ni sawa jana hapa kuna mtu anasema ukisoma sheria ukimaliza law school unafungua chember mambo sio simple kiasi hicho soma na anza kujiajiri.
 
Community development ukisoma hii jiandae kuwa teja haina soko kabisa
sio kweli ina soko sana hasa kwenye ngos nying wanawachukua sana na mashirika mengneo y nje yanayofanya kaz hapa böngo kama world vision isf snv amref nk na juz tu walitangaza nafasi shida watu mnataka kazi dar tu hata utendaji wa kata ukpata unazama anzia chni kisha panda juu
 
Back
Top Bottom