Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
ukitaka raha nenda kasome ardhi university,lakini usisome course ya ISM na community development
mdada we unasoma wap? Me nipo aru(uclas)- SCEM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka raha nenda kasome ardhi university,lakini usisome course ya ISM na community development
Busnes adminstration. . .& tax
Sehemu ya like ipo mkuu sema iko kiupendeleo kwa wale wanaotumia pc
kuna ile inaitwa geography and environmental studies..ile haina issue mayb ukawe mwalimu.
wameamua kuwa walimu
Kozi rahisi kupata kazi ni kusomea uhasibu,halafu ukishamaliza jiandikishe kufanya mitihani ya CPA.Kamwe huwezi kukosa kazi
Hufundishiki wewe ? uandishi gani huu?
Kozi ambao haina ajira ni ile ya sua unakuwa dr wa mifugo kuchoma mbwa,ngo'mbe sindano.
sio kweli ina soko sana hasa kwenye ngos nying wanawachukua sana na mashirika mengneo y nje yanayofanya kaz hapa böngo kama world vision isf snv amref nk na juz tu walitangaza nafasi shida watu mnataka kazi dar tu hata utendaji wa kata ukpata unazama anzia chni kisha panda juuCommunity development ukisoma hii jiandae kuwa teja haina soko kabisa