Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

Joined
Feb 20, 2026
Posts
14
Reaction score
23
Jaman nauliza kwamba ukiachana na driving hivi ni short course gani inaweza kunilipa na kunifanya niweze kuishi jijini Dar es Salaam vizuri na pia nikaweza hata kuweka akiba ya 300k ndani ya mwezi?

NB. Driving sasa hivi ishakuwa miyeyusho vigezo buku kama unaomba tenda ya billions of dollars ndo maana nimesema ukiachana nayo
 
FAFANUA MKUU AJIRA ZAKE ZIPOJE BAADA YA KUSOMA HUWA NAIONA SANA LAKINI NASHINDWA KUIELEWA
Hii course wapo vizuri sana kuna madogo kibao wameajiriwa na DP WORLD pale bandari,wanakula kiyoyozi tu ndani ya hilux zao,

Kazi yao ni kuhakikisha kazi zinaenda kwa kuzingatia usalama wa wafanyakazi na usalama wa mzigo wa mteja.

Kama mtu unahitaji,ni vizuri ukasoma hiyo course ni kama ineanza kupata umaarufu siku hizi.
 
Back
Top Bottom