Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
🤣 🙌🏾TAWAZA
🤣 🙌🏾TAWAZA
Hautaki?Nyooh! Huna uwezo huo..!
npe location sasa, nikuJEEEE.Njoo chapchap!!
NdioHautaki?
مَوْقِع is مَوَاقِعnpe location sasa, nikuJEEEEA
kijana, sisi wengine ni babu zako, kiasi kwamba nguvu zote zilishaniishia kama Samson wa biblia aliyenyolewa, nimebakiza tu viji-guvu vya kutype kwa keyboard na vya kuotea jua, baaaasi.Ndio
Uongo huo hata 30 wewe bado sanakijana, sisi wengine ni babu zako, kiasi kwamba nguvu zote zilishaniishia kama Samson wa biblia aliyenyolewa, nimebakiza tu viji-guvu vya kutype kwa keyboard tu na vya kuotea jua tu baaaasi.
Babu wa jioooooooooni umri 98.
🤣🚬مَوْقِع is مَوَاقِع
miaka 68 iliyopita ndo nilikuwa na 30.Uongo huo hata 30 wewe bado sana
mkojo upi? Maana nasikia nyie vijana wa siku hizi mkisema mkojo mnakuwa na maana mbili.98 saiz si wana fistula hawezi kuhold hata mkojo, ije kuwa kuhandli keyboard 👀
mkaidi sana wewe mjukuu wangu.. mpaka siku ujionee kwa macho.Ndio
Unajifurahisha naona😃mkojo upi? Maana nasikia nyie vijana wa siku hizi mkisema mkojo mnakuwa na maana mbili.
Mie ni genes tu ndo zipo pamoja na mie. ila age mates zangu kitambo washatangulia hakaluni.
Mjukuu wangu ndo kaninunulia simu na kaniunga JF, kanambia itanisaidia ili akili iwe active na nisiwe mpweke.
Kuna mtu huko juu kashea ratiba vizuri tuHii OSHA WAPI WANATOA WAKUU
Weka picha hapamkaidi sana wewe mjukuu wangu.. mpaka siku ujionee kwa macho.
Ipo hivi mkuu nilipata bahati tu ya kufanya kazi kwa muda pale bandari.Course zao zipo nyingi ipi bora ya kusomea