Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

kijana, sisi wengine ni babu zako, kiasi kwamba nguvu zote zilishaniishia kama Samson wa biblia aliyenyolewa, nimebakiza tu viji-guvu vya kutype kwa keyboard na vya kuotea jua, baaaasi.
Babu wa jioooooooooni umri 98.
 
kijana, sisi wengine ni babu zako, kiasi kwamba nguvu zote zilishaniishia kama Samson wa biblia aliyenyolewa, nimebakiza tu viji-guvu vya kutype kwa keyboard tu na vya kuotea jua tu baaaasi.
Babu wa jioooooooooni umri 98.
Uongo huo hata 30 wewe bado sana

98 saiz si wana fistula hawezi kuhold hata mkojo, ije kuwa kuhandli keyboard 👀
 
98 saiz si wana fistula hawezi kuhold hata mkojo, ije kuwa kuhandli keyboard 👀
mkojo upi? Maana nasikia nyie vijana wa siku hizi mkisema mkojo mnakuwa na maana mbili.

Mie ni genes tu ndo zipo pamoja na mie. ila age mates zangu kitambo washatangulia hekaluni.

Mjukuu wangu ndo kaninunulia simu na kaniunga JF, kanambia itanisaidia ili akili iwe active na nisiwe mpweke.
 
mkojo upi? Maana nasikia nyie vijana wa siku hizi mkisema mkojo mnakuwa na maana mbili.

Mie ni genes tu ndo zipo pamoja na mie. ila age mates zangu kitambo washatangulia hakaluni.

Mjukuu wangu ndo kaninunulia simu na kaniunga JF, kanambia itanisaidia ili akili iwe active na nisiwe mpweke.
Unajifurahisha naona😃
 
Kwa wanaotaka Taarifa na Huduma za Scholarships mbalimbali katika nchi ya Marekani, Canada, UK, Germany, China, India, Japan, South Korea karibu katika WhatsApp group la Education Scholarship... Karibuni sana kupata fursa hizi...

Education Scholarship (Bsc, MSc, PhD)
 
Course zao zipo nyingi ipi bora ya kusomea
Ipo hivi mkuu nilipata bahati tu ya kufanya kazi kwa muda pale bandari.

So niliwaona hao vijana wakifanya kazi nikauliza je DP amewaajiri bila shaka walikuwa ni waajiriwa.

Nilichokuwa natambua ni kwamba inasemekana kozo yao kusoma ada ni 800k.

Ila nje na hapi hakuna kitu natambua kingine,wao ni kuhakikisha kazi zinaenda kwa kuzingatia safety gears Na tahadhari za hapa na pale.

Sina maelezo zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom