Umenifungua akili broo ngoja nikafatilie hii OSHA nione.OSHA
Kila mmoja na bahati yake mkuuNingekusanua ila tutakuwa wengi.
Ngoja tupige pige pesa tutawasanua mbele huko tukishafanya maendeleo.Kila mmoja na bahati yake mkuu
Share na wenzio utazidishiwa!Ngoja tupige pige pesa tutawasanua mbele huko tukishafanya maendeleo.
0687347334Ningekusanua ila tutakuwa wengi.
Inahusiana na nini!?Mtu yoyote anaweza kusoma hii course wengine wanajiendeleza tu kwa kuwa ni short course
Yani hujajisumbua kabisa kuusoma uzi🥴Driving
Nimeeleza soma post zinazofuataInahusiana na nini!?
FAFANUA MKUU AJIRA ZAKE ZIPOJE BAADA YA KUSOMA HUWA NAIONA SANA LAKINI NASHINDWA KUIELEWA
HUWA ZINATOLEWA KWENYE VYUO GANI HIZIHii course wapo vizuri sana kuna madogo kibao wameajiriwa na DP WORLD pale bandari,wanakula kiyoyozi tu ndani ya hilux zao,
Kazi yao ni kuhakikisha kazi zinaenda kwa kuzingatia usalama wa wafanyakazi na usalama wa mzigo wa mteja.
Kama mtu unahitaji,ni vizuri ukasoma hiyo course ni kama ineanza kupata umaarufu siku hizi.
Jaman nauliza kwamba ukiachana na driving hivi ni short course gani inaweza kunilipa na kunifanya niweze kuishi jijini Dar es Salaam vizuri na pia nikaweza hata kuweka akiba ya 300k ndani ya mwezi?
NB. Driving sasa hivi ishakuwa miyeyusho vigezo buku kama unaomba tenda ya billions of dollars ndo maana nimesema ukiachana nayo
Uzi uishie hapa Kwa bwasheee the GOAT of likesKasomee ufundi cherehani bwashe
Course zao zipo nyingi ipi bora ya KUSOMA ?!!Unawafahamu safety officers? Wanafanya kazi migodini, viwandani na sehemu zenye kazi hatarishi?
Course zao zipo nyingi ipi bora ya kusomeaHii course wapo vizuri sana kuna madogo kibao wameajiriwa na DP WORLD pale bandari,wanakula kiyoyozi tu ndani ya hilux zao,
Kazi yao ni kuhakikisha kazi zinaenda kwa kuzingatia usalama wa wafanyakazi na usalama wa mzigo wa mteja.
Kama mtu unahitaji,ni vizuri ukasoma hiyo course ni kama ineanza kupata umaarufu siku hizi.
Hizo unakuwa unasoma moja moja ukipata mchongo unaongeza elimu! Kama ada zake unavyoziona na mikoa tofauti tofauti huwezi kusoma zote kwa pamoja!Course zao zipo nyingi ipi bora ya KUSOMA ?!!
kwema tu kijana... vipi lakini?Vipi kijana, kwema?
OSHA, SAFISHA, NAWA, SUUZA. 🤭OSHA
naam mtaalamu, nakuja unifundishe hayo ma OSHA, SAFISHA, NAWA suuza na kuanika.Unawafahamu safety officers?
Nyooh! Huna uwezo huo..!kwema tu kijana... vipi lakini?
ila mie ni babu yako nina miaka 98.
TAWAZAOSHA, SAFISHA, NAWA, SUUZA. 🤭
Njoo chapchap!!naam mtaalamu, nakuja unifundishe hayo ma OSHA, SAFISHA, NAWA suuza na kuanika.