paul castelano
Member
- Feb 20, 2026
- 14
- 23
Ndio. Auto-electrical, short course, 300k.Hivi Bongo VETA ufundi umeme wa magari ipo?
MKUU FAFANUA KIDOGO HII OSHA IPO VIP?!!OSHA
HII OSHA SI HUWA KWA WATU AMBAO WAPO KWENYE MFUMO (WAAJIRIWA)OSHA
Mtu yoyote anaweza kusoma hii course wengine wanajiendeleza tu kwa kuwa ni short courseHII OSHA SI HUWA KWA WATU AMBAO WAPO KWENYE MFUMO (WAAJIRIWA)
Ahaaa πNdio. Auto-electrical, short course, 300k.
FAFANUA MKUU AJIRA ZAKE ZIPOJE BAADA YA KUSOMA HUWA NAIONA SANA LAKINI NASHINDWA KUIELEWAMtu yoyote anaweza kusoma hii course wengine wanajiendeleza tu kwa kuwa ni short course
Unawafahamu safety officers? Wanafanya kazi migodini, viwandani na sehemu zenye kazi hatarishi?FAFANUA MKUU AJIRA ZAKE ZIPOJE BAADA YA KUSOMA HUWA NAIONA SANA LAKINI NASHINDWA KUIELEWA
Vipi kijana, kwema?π
ππ½
π
Hii course wapo vizuri sana kuna madogo kibao wameajiriwa na DP WORLD pale bandari,wanakula kiyoyozi tu ndani ya hilux zao,FAFANUA MKUU AJIRA ZAKE ZIPOJE BAADA YA KUSOMA HUWA NAIONA SANA LAKINI NASHINDWA KUIELEWA
Bwashee ni ubunifu tu , mimi nikiwa na uhakika wa bia nafanya kila kaziFani ya kichovu mno hiyo!! Chuoni atafundishwa basics pekee halafu atafute fundi mkongwe mtaani awe chini yake 1-2yrs ndiyo afungue ofisi yake!!