Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

Mahojiano ya juzi ya Bakhresa alisema hajamaliza shule alianzisha biashara kwa mtaji mdogo tu. Unacho kisomea shule sicho unachofanya kwenye ajira.
 
Sio Kozi sema Ujuzi, Kozi haziajiriki mdogo wangu. Utaprint mpaka utajuata. Chukua fani fupi ya Lathe Machine Operator. Kijue chuma, jua namna ya kukichonga. Mnapoteza muda kusoma makozi badala kujifunza Craftsmanship.

Do your homework, nenda google jifunze Lathe Machine ni kitu gani. Kijue chuma, fahamu namna ya kutumia Lathe Machine kuchonga kila aina ya kifaa cha chuma.

Utanishukuri badae mdogo wangu.
 
FAFANUA MKUU AJIRA ZAKE ZIPOJE BAADA YA KUSOMA HUWA NAIONA SANA LAKINI NASHINDWA KUIELEWA

HUWA ZINATOLEWA KWENYE VYUO GANI HIZI
 

Ni kusomea kazi ambazo CAG atakuja kuzikagua baadae. Ili ukishindwa kabisa tutakutaja na kukuzomea
 
Course zao zipo nyingi ipi bora ya kusomea
 

Attachments

  • Screenshot_20260330-224534.jpg
    137.2 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…