Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Mbona Kama Nelson Mandela(Arusha) kama wanayo hiyo kozi ya Nanotechnology.
 
Mfano swala la AI ndio linalotrend kwa sasa, lakini cha ajabu wasomi wetu wala hata haliwastui.
Kuna project nilikua nataka kuifanya lakini kutokana na uelewa mdogo wa wasomi wetu imekua ngumu kuifanikisha.
Project gani??Artificial Intelligence unataka kupiga utabe gani?
 
accounts
 
Moja ya changamoto ipo hapo. But ni project ya muda mrefu kidogo
Washawishi watu,kama ni project ambayo wanaweza kunufaika nayo ni very simple watu ku take risk ila lazima uprove kwmb upo competent kwny hiyo project.

Mm nina project yng nilikuwa naifanya imenifilisi pesa nyingi sana,na ilivyoingia hiyo COVID 19 ndio nimevunjika moyo kabisa ,maana kuna vitu ambazo nilipaswa kwenda China kuangalia.
 
Asante mkuu kwa ushauri, kwasasa acha niongeze effort maana kuna eneo imepwaya kidogo.
kuhusu hyo project yako hutakiwi kukata tamaa, COVID 19 ni ugonjwa wa kupita tu.
 
Unaweza kutengeneza intercontinental missile icbm Kuna jamaa mhindi alitoroka na hela zetu kwenye project moja hivi yupo india

Sent from my I phone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…