Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Acha kujidanganya yakuwa mpo Wawili, unajua Makamu wa rais Hatibu Bilali Yule Mzanzibar, Nae anataaluma kama yako,
 
Unaandika "mtaara" halafu unajimwambafy una masters?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.

Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii
Unategemea na lengo lako kama ni kufungua pharmacy ni sawa kazi inakuwa ni pa kusakia mtaji
 
Kwa mimi niliyesoma kozi tofauti na environment ..tano sina degree ya mazingira, Nina degree engine kabisa..naweza somea izo short kozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo zenji huku wanipiga hela chafu mkuu. Maisha hayana formula. I know a girl who was working as a house keeper in a hotel and then got in a relationship na mzungu, kaolewa official marriage sasa hivi ni boss wa hotel hiyo wacha kabisa
Bro niunganishe na uyo sister anipe ata kazi ya kufagia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah bro naku pm apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nenda hizo nchi za wenzetu ukafanye kazi ulipwe mshahara mnoni..sisi huku kwetu ni wito..hutaki kalime bangi..

#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa aliyepiga kozi tofauti na uhasibu hawezi piga hii masters?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…