Mr Big
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 479
- 922
Kwa aliyepiga kozi tofauti na uhasibu hawezi piga hii masters?
Kama course gan umesomea wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa aliyepiga kozi tofauti na uhasibu hawezi piga hii masters?
Kama course gan umesomea wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Udaktari ni wito mpk ulaya na China huko check wale madktari waliopaswa kufunga ndoa mwezi huu China wakajikuta wapo busy wanapishana tu shift ,mpk harusi ikawa cancelled ila raia ikabd wapambane kuwakutanisha wawafungishe ndoa hapo hapo hospital na uniform zao.Basi nenda hizo nchi za wenzetu ukafanye kazi ulipwe mshahara mnoni..sisi huku kwetu ni wito..hutaki kalime bangi..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi za Biomedical Engineers hufanya yafuatayo:
Hiyo inawezekana ukasoma
UkiPiga hiyo course,masters,utaongeza fulsa yakuajiliwa sana kwenye sehemu tofauti,mfano makampuni ya sheria,banks, serikalini vitengo tofaut,maana hii fani ni tamu sana..
Advocates na CPA s ndio kozi gani na zinasomewa vyuo gani?Kozi karibu zote za social science (angalau advocates kidogo) ni chenga na za Biashara (angalau CPA s)
Kozi nzuri ni hizi
Za afya zote
Uhandisi wote
Land savey, wasanifu majengo,
Veternary
Kitu kikubwa na cha muhimu kwenye Procurement na Supply ni kuingia kwenye board yao hile ya PSPTB (Procurement and Supply Professional and Technician Board).kama haujawa registered inabidi upambane kwanza maana huko ulipo serikali haikutambui unakuwa kama kishoka.Hapa kunakuwa na mitihani ya kufanya kabla ya kuwa registered.
Zinasomwa Law School of Tanzania na National Board of Accountants and AuditorsAdvocates na CPA s ndio kozi gani na zinasomewa vyuo gani?
Kwa lugha hii ukweli ni thread ile kwenye screenshot sio huu kwenye uzi huuStory tu hizo. Tunatumia fake ID ... i might be lying now, i might have lied then. Beauty of it all you'll never know for certain [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siasa nayo inachangamoto,mtaa ninaoishi cheo cha ujumbe wa nyumba kumi mzee mmoja kakishikilia miaka 30 mpk ss yy ndio mjumbe wa nyumba kumi watu wanamuogopa duuuh akipumzika anampa mwanawe harafu anakichukua anampa mkewe harafu anakichuku tena..
Wewe utakuwa ni yule jamaa yangu tumesoma naye tangu primary alikuwa kichwa balaa, ametuongoza madarasa yote sita, akachaguliwa Kibiti O Level tukabaki kijijini shule za kataKabla sijafa nataka nisome master nyngn ya Nano Technology Engineering,hii kozi bongo hakuna kabisa na wala hakuna mtaaram wa hii kitu kwa ss labda miaka 100 ijayo.
Nano engineers hawa ndio wale wanaotengeneza biological and chemical weapons,bullet proof na kuna kitu inaitwa nano medicine hii ni balaa tupu hapa unakutana na nano robots ambazo utumwa kwny mwili wa binadamu kuzi repair cell zilizokufa hz robots zinafny kazi km antibodies.
Shule tamu sana ndio maana wasomi wng masikini kwa utamu wa shule. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ipo Tofauti kati ya Biomedical Engineering na Biomedical Equipment Engineering?Kazi za Biomedical Engineers hufanya yafuatayo:
1. Kudesign system na bidhaa, kama vile viungo vya ndani vya bandia, vifaa vya bandia ambavyo hubadilisha sehemu za mwili, na mashine za kugundua shida za matibabu.
2.Kurekebisha au kutoa msaada wa kiufundi kwa vifaa vya biomedical.
Kabla ya Kozi hii kutambulishwa na chuo cha Nelson Mandela Arusha miaka hii ya karibuni na kutoa wahitimu kazi hizi zilikuw zinafanywa na watu wa Mechanical na Electrical.
Kuajiri Biomedical engineer asiye na uzoefu kwenye hospital yako si bora kuajiri MEs au Electrical engineer atakupa options nyingi .Kibongo bongo pia Biomedical engineer labda kwny Biomedical equipments mambo ya internal organs bado sana.
Nimecheka haahaa mpaka nimeisi Kuna mjumbe mtaani kwetu toka nipobgigoli mpaka Sasa nafanana na ile bar pendwa ya tabataSiasa nayo inachangamoto,mtaa ninaoishi cheo cha ujumbe wa nyumba kumi mzee mmoja kakishikilia miaka 30 mpk ss yy ndio mjumbe wa nyumba kumi watu wanamuogopa duuuh akipumzika anampa mwanawe harafu anakichukua anampa mkewe harafu anakichuku tena..
Ipo UDOM.BsC. In Cyber security, its marketable ila kwa bongo haipo labda nchi jirani (Kenya)
Sent using Jamii Forums mobile app