Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Hebu kwanza expirience yako.Au uliwaza nini hadi kuleta bandiko?
 
Kwanini usiapply kazi nje ya nchi??
 
Fani za afya hazimtupi mtu kama umesoma na kuiva kweli kweli,hata usipoajiriwa,unanunua usafiri wa bei nafuu,unatafuta briefcase ya kuweka vipimio vyako....unakuwa unatembelea familia zenye uwezo unawacheki afya zao majumbani/makazini n.k,unakuwa mobile doctor au unaingia ubia na baadhi ya hospitali;utapiga hela mpaka utashangaa na hutotaka tena kuajiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…