Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

Kampala wamwfungiwa kozi zote za afya
Bugando pia wamefungiwa radiology mwaka huu
 
Kwanini iwe chuo ambacho kinategemewa na mikoa yote ya ziwa na mingine ya magharibi ? (Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Simiyu, Shinyanga, Kigoma, Katavi na Tabora) hivi sasa hakuna mbadala wa chuo chochote kinachotoa degree ya sheria katika mikoa yote hio, kama ni kupunguza wangeenda kwengine sehemu zenye vyuo vingi vya sheria. kumbuka kwa wakati huo huo Saut Arusha na Mbeya wanaendelea kutoa kozi hio ya law,

Wanafunzi elf 3 wa Sheria ni wote Diploma hadi Degree au ?

Nimeuliza hivyo kwasababu figure za udahili zipo tofauti, hizi ni screenshot za pdf ya udahili wa mwaka uliyopita mfano 2024 nimeona nafasi kwa kozi za sheria zipo chache hazifiki hata 100, tofauti na kozi nyingine kama za ualimu, business administration na arts zenye udahili mkubwa hadi wanafunzi 1000

View attachment 3415141

View attachment 3415139

View attachment 3415140
Haya maswali hata mimi najiuliza na majibu ninayopata nashangaa sana, nadhani kuna zaidi ya kinachosemwa. Hiyo idadi ni wastani wa wote Mkuu.
 
Haya maswali hata mimi najiuliza na majibu ninayopata nashangaa sana, nadhani kuna zaidi ya kinachosemwa. Hiyo idadi ni wastani wa wote Mkuu.
Kinachoendelea sio fair kabisa, mikoa hii yote hakuna hata chuo kimoja kinachotoa degree ya Law, walikuwa wanategemea Saut- Mwanza.

Maamuzi yaliyofanyika for whatever reason wakae upya kwenye meza watafute suluhisho haraka

Ni pigo kubwa sana linaloenda kuharibu ndoto za wanafunzi waliokuwa wanataka kusomea sheria.

The-map-of-Tanzania-showing-regions.jpg
 
Kinachoendelea sio fair kabisa, mikoa hii yote hakuna hata chuo kimoja kinachotoa degree ya Law, walikuwa wanategemea Saut- Mwanza.

Maamuzi yaliyofanyika for whatever reason wakae upya kwenye meza watafute suluhisho haraka

Ni pigo kubwa sana linaloenda kuharibu ndoto za wanafunzi waliokuwa wanataka kusomea sheria.

View attachment 3416280
Sure
 
Kozi nyingi zilianzishwa kwa ajili ya biashara hazina uhalisia unakukuta majina ya degree ni tofauti lkn content ni ile ile hakuna haja kuwa na utitiri wa degree ambazo content inafanana
 
Back
Top Bottom