Wiltibenda
Member
- Aug 4, 2023
- 5
- 6
Ni kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
Siamini katika hiloWe soma chochote ukimaliza uje tuendeshe boda boda. 🤣
Azingatie sana hilo tena sana, pia nakunukuu "Jitahidi uwe wa thamani kwa ku invest in yourself".Hakuna kozi yenye soko Bali wewe thamani yako ndio inayokuwa na soko na unatafutwa kwa gharama kubwa mno yaani mno. Jitahidi uwe wa thamani kwa ku invest in yourself. Naomba usevu hii sms popote hata kwenye email yako. Saivi hutoona Kama Ina thamani kwako Ila baada ya 15-20yrs to come ndio tutaweza kuongea lugha moja na wewe mwenyewe utaelewa hii kauli yangu.
Saivi hutaki kuambiwa ukweli Bali unataka ujibiwe jibu uliloliuliza
Sahihi kuna watu wamekula msuli wa Mechanical ila kwenye electrical na electronics wapo sawa unakuta hadi programming watu wanacheza huko.Zipo nyingi tu, mechanical, umeme, IT, computer sayansi,
Hapa kwetu shida ni uhaba wa ajira, Ila hizo, kozi ni funguo mzuri,
Hata kama umesoma mechanical, uwe tayari kufanya kazi, za umeme, air-conditioning, na IT kidogo, Nilikutana na vijana waliosoma telecom, na IT, wanafanya kazi za umeme, ats, switchgear, majenereta, solar system, nk, mpaka air-conditioning wnafunga! Cha muhimu uwe na kozi yako kama base, ongeza na vingine,
Nilikuwa na boss wangu, kijana mdogo sana, injinia wa umeme, amefsnya kazi ya umeme, akapewa kazi za management, akapiga kozi ya wiki ya finance, sasa hv ni director wa projects za Mambo ya community, afya, kilimo, elimu, anavuta mkwanja hatari!!
Hatoweza,ningelijua hili as my late teens and early twenties.kujua tu hakutoshi Bali inatahitaji uamini na utende,yaani uamini in such way that no any part of your being,fiber, DNA,meat,bone,water,blood is in conflict with that BELIEF.Azingatie sana hilo tena sana, pia nakunukuu "Jitahidi uwe wa thamani kwa ku invest in yourself".
Nakubaliana na wewe.Nadhani watu hawasomi ili wawe watu wa fani hizo Bali Ni ishu ya hela. Kama hela nadhani Ni akili yako Ila kupewa hela na mtu ukatoboa inahitajika uwe na value ili utafutwe na wengi mno wawe wanakupandishia thamani wanapokutafuta.
Ni sawa na wachezaji akishakuwa na skills na kipaji chake nadhani unaona anavyogombaniwa na anapandishiwa dau. Wote Ni wachezaji Ila wapo wenye soko kubwa kuliko wengine
Sosho situdiNi kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
Ahsante sanaa❤️Hakuna kozi yenye soko Bali wewe thamani yako ndio inayokuwa na soko na unatafutwa kwa gharama kubwa mno yaani mno. Jitahidi uwe wa thamani kwa ku invest in yourself. Naomba usevu hii sms popote hata kwenye email yako. Saivi hutoona Kama Ina thamani kwako Ila baada ya 15-20yrs to come ndio tutaweza kuongea lugha moja na wewe mwenyewe utaelewa hii kauli yangu.
Saivi hutaki kuambiwa ukweli Bali unataka ujibiwe jibu uliloliuliza
Hiyo misuli ni kweli kabisa siku ukiliotea chaka uhakika kuna mwana alimaliza Bsc ya Petroleum Eng. ila kwasababu familia ilikuwa poa wakakomaa akapige Msc. Australia kama sikosei bahati nzuri alifanikiwa kupata mazingira huko huko hadi leo.Soma petroleum geology au petroleum chemistry au petroleum engineering utakuja kunishukuru ukikalia kiti.
hakuna unachokipenda ktk maisha yako mpaka uulize watu? Au unalenga ajira? Hakuna kozi ya uhandisi isiyo na ajira ila kuna kusubiri, kuna kujiajiri n.k. We ulikuwa unataka uhandisi upi, Computer Engineering, Electrical Engineering, Electronics Engineering, Civil Engineering, Mechanical Engineering, Chemical and Processing Engineering, Architectural Engineering, fani zote hizo na zingine ambazo sijataja umeshindwa kuchagua? Pili inategemea na ufaulu wako form six, kwa maana ya cut-off points ulizopata.Ni kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
Si mpaka ukikalie!Soma petroleum geology au petroleum chemistry au petroleum engineering utakuja kunishukuru ukikalia kiti.
🤣hakuna kozi yenye soko Tanzania,Soma ukimaliza uje tukupe mawazo ya kufanya biashara kwa mtaji wa 10000