Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

Bongo njaa tu hapa ,hamna kitu .Watu kibao wapo na skills na elimu hizo za uhandisi ,ufundi vizuri tu nk lakini wanapigika kitaa ,opportunities hata za kuajiriwa au kujiajiri hamna .
Nchi corrupt kama hii Tanzania lazima izalishe umasikini na umasikini kwa raia wengi unazalisha udumavu wa taifa na maendeleo kwa ujumla kwa kuua consumption au spending , sasa kama nchi inanuka economic stagnation , unajidanganya kwamba unajiajiri , utakuwa idiot .
Hiyo huduma yako au bidhaa zako nani atanunua kama watu hawana disposable income ?
Ni downward spiral .

Hamna cha Ajira wala kujiajiri kwa fani nchi hii , kupigika kupo pale pale .
Mi nawashauri mnaomaliza kidato cha nne au cha sita ,ni bora mtafute chaka huko mbele kuliko kusoma halafu utegemee kwamba utapata ajira humu au kujiajiri kwa fani humu , utakuwa mwendawazimu .
 
Sahihi kuna watu wamekula msuli wa Mechanical ila kwenye electrical na electronics wapo sawa unakuta hadi programming watu wanacheza huko.
Uzuri ukisha kuwa engineer, au ukasoma kozi yoyote ya engineering, hakuna kitu utashindwa kufanya, ni training tu, kuanzia upishi, upambaji, kilimo,
Kuna watu wanaenda kusomea, vitu kama CCTV, alarms, fire alarms,
Video productions, hv vitu nimejifunza mwenyewe kwa YouTube na google tu,
Ukisoma engineering, unafundishika, biashara, kilimo, muziki,
 
Back
Top Bottom