Bongo njaa tu hapa ,hamna kitu .Watu kibao wapo na skills na elimu hizo za uhandisi ,ufundi vizuri tu nk lakini wanapigika kitaa ,opportunities hata za kuajiriwa au kujiajiri hamna .
Nchi corrupt kama hii Tanzania lazima izalishe umasikini na umasikini kwa raia wengi unazalisha udumavu wa taifa na maendeleo kwa ujumla kwa kuua consumption au spending , sasa kama nchi inanuka economic stagnation , unajidanganya kwamba unajiajiri , utakuwa idiot .
Hiyo huduma yako au bidhaa zako nani atanunua kama watu hawana disposable income ?
Ni downward spiral .
Hamna cha Ajira wala kujiajiri kwa fani nchi hii , kupigika kupo pale pale .
Mi nawashauri mnaomaliza kidato cha nne au cha sita ,ni bora mtafute chaka huko mbele kuliko kusoma halafu utegemee kwamba utapata ajira humu au kujiajiri kwa fani humu , utakuwa mwendawazimu .