Kozi ya Nursing and Midwife

Kozi ya Nursing and Midwife

braity

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
366
Reaction score
478
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya afya ngazi ya certificate anaweza kuipata? Nisaidien waungwana msisome na kukimbia
 
Peleka mtoto chuo..
Usijelazimisha a Re-seat, Wazazi wengi wanashindwa tambua NI NGUMU KUREKEBISHA MAKOSA YALIYOFANYWA MIAKA MI4 KWA MWAKA MMOJA..

Mi sio mtaalamu huko kwenye afya ,ila hiyo D ya Chemistry na C ya Biology vinamtoa..

Hakosi course ya afya kwa marks hizo..

Usiruhusu akae mtaani, kabla hajaolewa, utatengeza tatizo ambalo hauji kulitatua..

MUNGU AKUTANGULIE..
 
Physics kapata ngapi..?
Itakuwa hakusoma physics sikuhizi watoto wakifika kidato cha tatu wanachagua kati ya kusomea masomo 7, 8 au 9 hadi 10 ukisoma 7 phys na chemistry husomi ukisoma 8 unasoma yote kasoro physics nahisi ndio kama huyo binti yake mleta mada
 
Kasema lingine mnataka asome kitu halipo moyoni make!!!
Bongo utasoma ulichopangiwa au ujilipie ada ila ukimaliza chuo na usipate kazi. Mzazi anaanza kulaumu umekuwa mzigo na elimu yako haijakusaidia chochote. Elimu uliyoisoma kwa niaba yake 😁
 
Itakuwa hakusoma physics sikuhizi watoto wakifika kidato cha tatu wanachagua kati ya kusomea masomo 7, 8 au 9 hadi 10 ukisoma 7 phys na chemistry husomi ukisoma 8 unasoma yote kasoro physics nahisi ndio kama huyo binti yake mleta mada
Akasome pharmacy bila physics hakuna nursing or midwifery lakin promise ya pharmacy kwenye ajira ni ngumu mnoooooo labda ajiajiri watu waelekezwe nn wasome kabla ya kuseat for national exams
 
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya afya ngazi ya certificate anaweza kuipata? Nisaidien waungwana msisome na kukimbia
Kozi pekee ya afya ambayo anaweza kusoma ni pharmaceutical science , nyingine zote hawezi kuchaguliwa kwa sababu hajasoma physics.
 
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya afya ngazi ya certificate anaweza kuipata? Nisaidien waungwana msisome na kukimbia
Physics amepata ngapi?
 
Peleka mtoto chuo..
Usijelazimisha a Re-seat, Wazazi wengi wanashindwa tambua NI NGUMU KUREKEBISHA MAKOSA YALIYOFANYWA MIAKA MI4 KWA MWAKA MMOJA..

Mi sio mtaalamu huko kwenye afya ,ila hiyo D ya Chemistry na C ya Biology vinamtoa..

Hakosi course ya afya kwa marks hizo..

Usiruhusu akae mtaani, kabla hajaolewa, utatengeza tatizo ambalo hauji kulitatua..

MUNGU AKUTANGULIE..
Kabisa na hapa Hapo ampige na lamination kuwa mtoto sahivi akue kiakili atambue kuna maisha baada ya kusoma ,hivyo apambane katika masomo Yake.... Elimu sikuhizi sio umesoma mpaka wapi ila unajiweka vipi kuendana na mazingira mapyah
 
Hiyo pesa ya ada umfungulie biashara mkuu!!

Labda kama una Hospitali yako.
 
Nenda vyuo husika na uliza ili upate majibu sahihi na ushauri mzuri ukiwa na mwanao.
 
Hiyo pesa ya ada umfungulie biashara mkuu!!

Labda kama una Hospitali yako.
Nashukuruni wote kwa mawazo yenu wandugu. Wengi wamenishauri kwamba akasome ordinary diploma ya pharmaceutical kulingana na matokeo yake. Kwa hilo na mimi sijaona kama ni baya kuliko kurudia tena shule kwa mtoto wa kike itakuwa ni sawa na kumpotezea muda. Atakwenda kusoma pharmacy
 
Oya dogo arudie math na hio physics mwezi wa kumi ajiunge. NA chuo asome radiology ni dm nikuelekze
 
Back
Top Bottom