Mpeleke akasome pharmacia
Itakuwa hakusoma physics sikuhizi watoto wakifika kidato cha tatu wanachagua kati ya kusomea masomo 7, 8 au 9 hadi 10 ukisoma 7 phys na chemistry husomi ukisoma 8 unasoma yote kasoro physics nahisi ndio kama huyo binti yake mleta madaPhysics kapata ngapi..?
Bongo utasoma ulichopangiwa au ujilipie ada ila ukimaliza chuo na usipate kazi. Mzazi anaanza kulaumu umekuwa mzigo na elimu yako haijakusaidia chochote. Elimu uliyoisoma kwa niaba yake 😁Kasema lingine mnataka asome kitu halipo moyoni make!!!
Akasome pharmacy bila physics hakuna nursing or midwifery lakin promise ya pharmacy kwenye ajira ni ngumu mnoooooo labda ajiajiri watu waelekezwe nn wasome kabla ya kuseat for national examsItakuwa hakusoma physics sikuhizi watoto wakifika kidato cha tatu wanachagua kati ya kusomea masomo 7, 8 au 9 hadi 10 ukisoma 7 phys na chemistry husomi ukisoma 8 unasoma yote kasoro physics nahisi ndio kama huyo binti yake mleta mada
soma vizuri Uzi wakeKasema lingine mnataka asome kitu halipo moyoni make!!!
Kozi pekee ya afya ambayo anaweza kusoma ni pharmaceutical science , nyingine zote hawezi kuchaguliwa kwa sababu hajasoma physics.Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya afya ngazi ya certificate anaweza kuipata? Nisaidien waungwana msisome na kukimbia
Physics amepata ngapi?Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya afya ngazi ya certificate anaweza kuipata? Nisaidien waungwana msisome na kukimbia
Kabisa na hapa Hapo ampige na lamination kuwa mtoto sahivi akue kiakili atambue kuna maisha baada ya kusoma ,hivyo apambane katika masomo Yake.... Elimu sikuhizi sio umesoma mpaka wapi ila unajiweka vipi kuendana na mazingira mapyahPeleka mtoto chuo..
Usijelazimisha a Re-seat, Wazazi wengi wanashindwa tambua NI NGUMU KUREKEBISHA MAKOSA YALIYOFANYWA MIAKA MI4 KWA MWAKA MMOJA..
Mi sio mtaalamu huko kwenye afya ,ila hiyo D ya Chemistry na C ya Biology vinamtoa..
Hakosi course ya afya kwa marks hizo..
Usiruhusu akae mtaani, kabla hajaolewa, utatengeza tatizo ambalo hauji kulitatua..
MUNGU AKUTANGULIE..
Nashukuruni wote kwa mawazo yenu wandugu. Wengi wamenishauri kwamba akasome ordinary diploma ya pharmaceutical kulingana na matokeo yake. Kwa hilo na mimi sijaona kama ni baya kuliko kurudia tena shule kwa mtoto wa kike itakuwa ni sawa na kumpotezea muda. Atakwenda kusoma pharmacyHiyo pesa ya ada umfungulie biashara mkuu!!
Labda kama una Hospitali yako.
Physics hajasoma ndugu yangu. Lait kama angesoma physics kusingalikuwa na maneno mengi saanPhysics amepata ngapi?