Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:

1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi

2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
 
Hizi ndio kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:

1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi
2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
Ila ajira zake hazipatikani kiurahisi
 
Life is a puzzle, advance Nilisoma Arts na Sasa mshahara wangu unampita aliyesoma Petroleum..!
Watu ama nature ya mind inapenda kufanya maamuzi ama reasons in deterministic way. Watu huwa hawajui kuwa anything can happen. Na Kuna watu hawajasoma hata degree Ila wanakula zaidi ya hizo hela.yaani mie huwa naenjoi brain ya binadamu inavyofanya kazi. Babu tale akasoma kozi gani ivi. Unajua dereva wa bot ama tanapa analipwaje.anajua highway Engineer ama resident Engineer kwenye project ambayo iko sponsored na WB wanavuta zaidi ya 20M+ na unaishi nao hapa hapa bongo.

Nashukuru mkuu kwa kulitambua kuwa life is puzzle or is like chocolate box you never know utakutana na Nini.
 
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:

1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi

2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsmwezi.

3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
Upuuzi mtupu
 
Hivi mweshimiwa kitaalamu
wale waliosomea political science pale bungeni huwa wanalipwa Bei gan kwa mwezi?[emoji2960]
JamiiForums318025399.jpg
 
Back
Top Bottom