Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:

1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi

2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
Unaonekana upo very shallow, sema unajijasirisha kupaza sauti na hivyo ku mislead wengi
 
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:

1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi

2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
Hapo kwenye electrical labdauwe na degree ya havard.
 
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:

1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi

2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.

4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.

6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
Mbn tu mishahara midogo sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kitu gani ambacho siwezi kukufundisha wewe? Kama kipo kitaje alafu nikupangie ratiba ya kukufundisha.
Nikwambie tu ukweli huwezi kujilinganisha na mimi ukikubali kufutilia vitu navyo andika utajifunza mambo mengi sana. Ninayo mengi ya kukufunza hapa jukwaani. Tuombe tu uzima niendelee kuwepo level moja nawewe ya kujibizana hapa jukwaani.
Ukweli ni kwamba uko very shallow, hata hiki unachojaribu kuelezea hujaelezea kitaalam/ kisomi, japo naamini lengo lako ni kutaka kuonekana u-msomi na unajua mambo mengi.

Siku nyingine ukitaka ulete mada kama hizi hakikisha umekusanya taarifa za kutosha toka vyanzo vya kuaminika.

Uchambuzi wako ili uwe wa kisomi ni lazima ufanye kwa ulinganifu kwa kozi kwa wastani wa mshahara kwa waajiriwa sector ya umma, linganisha na wastani katika kozi husika kwa waajiriwa katika sekta binafsi.

Kwa ujumla, uko na uelewa mdogo mnoo katika uchambuzi wa mambo. Uniwie radhi kwa comment hii.
 
Back
Top Bottom