Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Unalipwa sh ngapLife is a puzzle, advance Nilisoma Arts na Sasa mshahara wangu unampita aliyesoma Petroleum..!
Life is a puzzle, advance Nilisoma Arts na Sasa mshahara wangu unampita aliyesoma Petroleum..!
Gross bossHizo ni Gross au?
Ila mbona kuna wanaolipwa zaidi ya hizo?
Mbona analamba mkwanja mrefu huviMbona mwalimu TGTS. F analipwa basic 1.8M
Mpaka afike huko imechukua zaidi ya miaka 20 kaziniMbona analamba mkwanja mrefu huvi
Ila ajira zake hazipatikani kiurahisiHizi ndio kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:
1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi
2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh
Nina jamaa yangu analamba million 13 kwa mwezi na ni graduate tu.Hahahahahah πππsawa ngoja tukuache
Mawakili wasomi wanalamba kiasi gani kwani.Wewe una mgogorobwa kimaslahi na Petroleum kwa hivyo hatuwezi kukubaliana na huo mpangilio wako.
Mawakili wasomi mbona sijawaona hapo
Watu ama nature ya mind inapenda kufanya maamuzi ama reasons in deterministic way. Watu huwa hawajui kuwa anything can happen. Na Kuna watu hawajasoma hata degree Ila wanakula zaidi ya hizo hela.yaani mie huwa naenjoi brain ya binadamu inavyofanya kazi. Babu tale akasoma kozi gani ivi. Unajua dereva wa bot ama tanapa analipwaje.anajua highway Engineer ama resident Engineer kwenye project ambayo iko sponsored na WB wanavuta zaidi ya 20M+ na unaishi nao hapa hapa bongo.Life is a puzzle, advance Nilisoma Arts na Sasa mshahara wangu unampita aliyesoma Petroleum..!
ππππππππππππNamba moja muweke chizi Morrison hapo
Upuuzi mtupuHizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:
1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi
2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsmwezi.
3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
5. Electrical Engineering, 1,500,000 Tsh kwa mwezi.
6. Mineral Process Engineering, 1,500,000 Tsh