Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

Unaonekana upo very shallow, sema unajijasirisha kupaza sauti na hivyo ku mislead wengi
 
Hizi je
Masters of Indies industrial cheap labor Tsh 120,000/=
Bachelor of Indies industrial cheap labor Tsh 100,000/=
Diploma of Indies industrial cheap labor Tsh 80,000/=
cerificate of Indies industrial cheap labor Tsh 60,000.=
 
Hapo kwenye electrical labdauwe na degree ya havard.
 
Mbn tu mishahara midogo sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kwamba uko very shallow, hata hiki unachojaribu kuelezea hujaelezea kitaalam/ kisomi, japo naamini lengo lako ni kutaka kuonekana u-msomi na unajua mambo mengi.

Siku nyingine ukitaka ulete mada kama hizi hakikisha umekusanya taarifa za kutosha toka vyanzo vya kuaminika.

Uchambuzi wako ili uwe wa kisomi ni lazima ufanye kwa ulinganifu kwa kozi kwa wastani wa mshahara kwa waajiriwa sector ya umma, linganisha na wastani katika kozi husika kwa waajiriwa katika sekta binafsi.

Kwa ujumla, uko na uelewa mdogo mnoo katika uchambuzi wa mambo. Uniwie radhi kwa comment hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…