Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

Huwezi kunielewa mpaka upewe macho ya rohoni. Kiukweli nimekuacha mbali sana. Huo uchambuzi unaouzungumzia mimi nauelewa zaidi yako.
 
Bw.Maarage kasomea Telecom Pamoja na kozi fupi ya kufunga ving'amuzi sahv anakunja mil 35 yake kiulaini kwa mwezi pale gridi ya taifa kwa connection ya kipara magamba matatu.
Mjini connection[emoji4]
Sasa watu wanagombaniaga ubunge ili nini? Mimi naona kuna watu kibao wanakunja noti ndefu sana kwenye mashirika ya serikali na yasiyo ya kiserikali kuliko wabunge lakini wabunge wanatajwa zaidi kwamba wanapiga hela ndefu
 
Si kwel..hvyo tuu..umeandika kama kijana aliemaliza form six yuko katika harakat za kwenda chuo sasa anaangalia asome koz gan yenye mafanikio...
Hzo koz ulizotaja wana kibao wanazo mtaan.
Wengne ni vinyoz..tena hao wa computer science ndo balaa
.
Tofautisha kuna ilivyo na inavyotakiwa kuwa dada.
 
Hahaha huyu Meneja ni mweupe kinyama hapo kichwani. Imagine 1.5m imelistiwa kama mshahara mnono!!
 
Bw.Maarage kasomea Telecom Pamoja na kozi fupi ya kufunga ving'amuzi sahv anakunja mil 35 yake kiulaini kwa mwezi pale gridi ya taifa kwa connection ya kipara magamba matatu.
Mjini connection[emoji4]
Huyu kamanda ananifuraishaga sana ana majibu yake mepesi sana anapoulizwa swali gumu kwa madlai ya wananchi wa Tanzania kipara alimweka rafiki yake hawa makenge nchi wamegawana aloo
 
Ina
Inategemeana na kampuni kuna mdada mmoja namjua analipwa 3.5 mil kama accountant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…