Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

Mnadanganyana!! Kozi zote za uhandisi hapa bongo wanaanzia TGS E ambazo ni takriban milioni 1. Labda iwe kwenye taasisi za kimataifa zilizopo hapa bongo! Labda kama hauzungumzii kianzia mshahara! Kama ni hivyo kuna maticha wanakula karibuni m3!! hapa hapa bongo!
 
Your absolutely right [emoji817],
Misijamaliza hata msingi lakini navuta zaidi ya hao apo juu, I have witnessed GOD'S miracle and his glory in my life.
 
Kumbe wahandisi pale TANROADS, PURA, TCRA, TPDC, etc wanaanzia TGS E? Asalaleee
 
Umesahau course ya
Wizi wa kura Engineering.

Hii course inapatikana makao makuu ya CCM Dodoma na ofisi zao ndogo za Mtaa wa Lumumba pale Dar es salaam.

Ukifuzu hii course tegemea kupata mabilion
 
Mbona sijaona mshahara wa Boss wangu anaepiga 50M kwa mwezi, huku akigharamiwa, Meals, transport, Allowance, maids, Wife Allowance, School fees kwa watoto, Memberships fees i.e Yatch Club, Gym na Entertainment Allowances kila week.
 
Government??
 
Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…