Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

Kweli mambo yamenadilika Sana. Yaani usome urubani ama udaktari halafu uombe ajira jeshini?

Mi nadhani Dr ama pilot ambae ni very compitent hawezi kubali kuuza uhuru wake jeshini.

Walau ungesema TISS ningekuunga mkono
 
Kweli mambo yamenadilika Sana. Yaani usome urubani ama udaktari halafu uombe ajira jeshini?

Mi nadhani Dr ama pilot ambae ni very compitent hawezi kubali kuuza uhuru wake jeshini.

Walau ungesema TISS ningekuunga mkono
Mkuu Uhuru bila pesa ni utumwa
Clinical officer wa jeshi anamzid mbali MD anayekula 1.2
 
Cheo kopro bwana,haya manyota yota ni urembo tu,vijana acheni kuchungulia pesa kwenye kila jambo.Wote tuwe manyota nyota nani atachimba mahandaki?
 
Mkuu Uhuru bila pesa ni utumwa
Clinical officer wa jeshi anamzid mbali MD anayekula 1.2
Sasa unakuwaje mahiri kwenye upilot ama udocta plus uhuru ushindwe kuchanganya kichwa kupiga pesa uraiani?

Ndo mana nikasema huko watakwenda wavivu kujishughulisha na wasio na uwezo wa kutumia maarifa yao nje ya mshahara kutokakana na uwezo mdogo pengine.
Kwa TISS okey maana ipo kiraia zaidi na uwanja wa kutengeneza pesa nje ya mshahara ni mpana zaidi kuliko mnivike migwanda na kunyenyekea kwingi tena pengine unamnyenyekea asiesoma kisa tu kakupita cheo[emoji16]
 
Kama unavyopenda kupata hela nyingi, vivyo hivyo ndio wenzio wanavyopenda kuwa askari na kufanya kazi za jeshi. Kwa hiyo ni vyema. Wewe saka fursa piga hela kuwa hata bilionea ndio furaha yako ni vyema sana, ila wengine furaha yao ni kuwa wanajeshi. Ndugu, hata ukiwa unafanya shughuli zako lazima ukomae sana tuu, kusema una uhuru huwa ni siasa tuu. Jipe uhuru uone mambo yako kama hayadodi. Lazima kichwa kifanye kazi, lazima ufanye kazi yani kuchakalika (kukosa uhuru) kuko pale pale.
 
Nyongeza ukiwa na degree ya I.T especial kwenye mambo ya network na programming umeulambaa chaliii

sent from HUAWEI
Nyongeza Ukiwa na degree ya Engineering(Civil, Electrical au Mechanical)
 
Wasichokijua ni mgawanyo tu wa maisha, hatuwezi kuwa wafanya biashara watu wote, alafu kuna watu wanafanya shuguri zao binafsi, ila wanahenyeka kishenzi.

Ndiyo maana ukiamka saa kumi usiku, utakuta watu wameacha kitanda wako kwenye usafiri.
 
Na kila kazi halali ina umuhimu wake katika Jamii. Usiidharau kazi ya mwingine kwani hujui ni lini na wapi utahitaji msaada wake. e.g. Kipindi cha vita au machafuko katika jamii ndipo utaona umuhimu wa wanajeshi, kipindi cha njaa ndipo utaona umuhimu wa mkulima n.k. Kwa kifupi ni kwamba tunahitajiana.
 
Ninapozungumzia uhuru simaanishi uhuru wa kulala mkuu. Namaanisha uhuru wa kuwork independently kwa kutumia taaluma yangu bila kufuata amri au kuomba kibali sana kuchakalikia kile taaluma yangu inataka.

Kwa kizazi hiki hakuna mtu atapenda kufanya kazi isiyo na masilahi kwake eti kwa kuipenda tu, la hasha!. Pesa kwanza vingine baadae.

Kama una ndoto za kujitanua sana nje na ndani ya nchi kwa kutumia fani yako kwa lengo la kujipatia fedha, ni wazi kuna baadhi ya taasisi hasa za ulinzi na usalama hazitakupatia option ya kufanya hivyo kutokana na mfumo na taratibu za wao.

Kwamfano dr mahili anakuwa na ndoto akafanye kazi kwenye mashirika makubwa ya afya ya kikanda na dunia ama kufungua hospitali kubwa, huyu huwezi kumshawishi kujiunga na taasisi za mifumo ya ulinzi.
Ama mwanasheria mwenye upeo wa juu, huyu huwezi kumshawishi kwenda kusubiria mshahara wa kusubiria kwa mwezi mahali ambapo hatoweza pata exposure

Kikubwa tu ni kuwa na exposure ili ikusaidie kupanua mipaka ya uwezo wako kitaaluma.
 
Ongeza hapo uhandisi (engineering) hasa wa ujenzi
 
-Jeshini hakuna wasomi wabobezi kama unavyojaribu kueleza hapa, Sehemu yenye wasomi wabobezi ni kwenye Vyuo vikuu, huko ndio Kuna MaPhD, Professors wakutosha,
  • Huwezi kulinganisha Man power ya Madaktari wa Muhimbili na Man power ya Jeshi, Pale Muhimbili Pana super specialist wengi Sana kwenye Masuala ya Afya, Jeshi wako wachache na pia Wengi sio wabobezi Kama wa Pale Muhimbili, Muhimbili ndio Sehemu ya kutengeneza wasomi wabobezi wa Afya wa Tanzania.
  • Bottom line hebu nitajie Maprofesa 10 walioko Jeshini na specialization zao tujue.
 
Kweli
 
Sawa, kama kipaumbeke chako ni cha namna hiyo, kwa kweli taasisi za ulinzi na usalama zitakubana kufanya mambo yako, maamuzi mazuri ni kutojiunga nazo, Nimekuelewa ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…