Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

Kwa mtu aliyeaoma shahada ya Mali asili , wanyamapori hawezi pata nafasi ya kuingia jwtz
Jwtz wanaingia hata darasa la saba waiokuwa na ujuzi wowote mkuu wewe tafuta namna ya kuingia jeshini kama ni kweli jeshi unalipenda kutoka moyoni na sio njaa zako zikupeleke huko

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
umemjibu hadi raha
Neil Armstrong,Buzz Aldrin na Michel Collin waliokanyaga mwezini mara ya kwanza wote walikuwa wanajeshi na tena Armstrong alikuwa professor wa Aeronautic.
Binadamu wa kwanza kuzunguka orbit ya dunia alikuwa Yuri Gagarin alikuwa ni generali wa jeshi la Urusi.
Mwanamke wa kwanza duniani kuzunguka orbit ya dunia alikuwa ni Valetino Tereshkova alikuwa generali wa jeshi la Urusi.
Jeshini kuna shule wanaofikiria huku uraiani kuwa wanajeshi ni vilaza ni wale ambao hawajaenda shule sasa wanakuwa na mawazo ya kuingia jeshini hebu wajaribu kuomba jeshi na darasa lao la saba waone kama watapata.
Picha angalia majerali wa urusi niliosema wa kwanza Mwanaume Yuri Gagarin wa Pili ni mwanamke Valentino Tereshokova.Kwa watu waone hakuna kilaza hapo.
Hata huku Tanzania wanajeshi ni wasomi mno
 

Attachments

  • Yuri Gagarin.PNG
    40.2 KB · Views: 24
  • Valentino Tereshkova.PNG
    75 KB · Views: 25
Tena wapo sana wenye shule kweli kweli kuna afande Maj.Gen Wilbert Ibuge ni moja ya watu wenye elimu sana chomboni.
 
Ukiwa na darasa la masela tu unakula maisha fasta acha kupunguza matumaini ya watu bwana
 
Je
Je
Je ukisoma afisa mifugo unaweza ukapata ajira
 
Kuna mwanajeshi yeyote kafanikiwa kuwa na biashara kubwa ukiachana na bar,guest na nyumba za kupangisha au kufuga kuku kama tunavyoona kwa watu wa kada nyingine?
 
Vp kuhuxu IT
 
Ukienda course monduli ukifeli hyo nyota uisahau maisha yote utakula vvv hadi ufie kwenye lile saa mwisho
 
Kuna mwanajeshi yeyote kafanikiwa kuwa na biashara kubwa ukiachana na bar,guest na nyumba za kupangisha au kufuga kuku kama tunavyoona kwa watu wa kada nyingine?
Sasa mwanajeshi kama atakua na biashara kubwa, mfano awe na mabasi makubwa 15, ama malori semi 20, maduka makubwa ya jumla, huyo atakua mwanajeshi au mfanya biashara.
Yote kwa yote Dunia ili isonge, lazima watu wagawanyike kwenye nyanja mbalimbali katika kuyakabili maisha.
Unaweza usiwe mwanajeshi na ukashindwa kuiifikia hiyo biashara kubwa, maana tunaona watu wanakusanya makopo na siyo wanajeshi, wameshindwa hata hizo biashara za kufuga kuku.
 
Haipo never ukifeli mara 3 wewe unaenda kuwa coplo,Sgt nk had uvae lisaaa lile umestaaafu
Haipo never then ukifel mara 3... sijaelewa hapo mkuu... kwamba ukifel mara ya kwanza utajaribu hadi mara ya 3 ndo basi tena sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…