KQ departs with "45" passengers from Nairobi to NewYork

The Bongo ignoramuses will choose to not understand your logic.

personally mimi hutumia sana mabasi ya Dar-Mombasa.na mara tunapofika Tanga abiria karibia wote hushuka (iwapo tunaenda Mombasa), au linakuja Dar likiwa lina abiria around 10/15, tukifika Tanga linajaa. So, it happens. Lakini mabasi yenyewe yanadunda tu, hayafilisiki, au kukatisha huduma.
 
Bado ushikanishi., kq sio atcl, all those were factored in, wivu isikusumbue bure, tulio uone ngoma.
hakuna wivu hapo ndugu nyie mlifanya haraka sana bila kuangalia tathmini vzr na sio kq project nyingi sana kenya hua munapupuruka sana sasa leo angalia munavohangaika na BRT πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kupeleka dreamliner with 45 passenger newyork my friend we huoni ajabu unahisi loss itawaacha salama tu
 
Ndege sio daladala bro the destination is fixed. Ikuwe na abiria ikose bado itaenda. But how would you know. I forgot you live in an LDC country. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe ndio maana loss inawatafuna 5 yrs nowπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Haya washuhudie wakenya wenzio kuhusu miundombinu na Mji wa Tanga kwa ujumla, hawajasafiri nje ya Kenya so they think tz is a Jungle.
 
mtz anaweza mwambia mtu nini kuhusu biashara...watu ni wavivu kupindukia..ndio flights zinaanza...market itakuja tu...nina uhakika kuwa kuna wamarekani ambao bado hawana habari kuhusu hizi flights..

did you conduct a demand level analysis!?
I can see, the demand for is not matching with the supply of your product.
 
hapo walibugi sana tu πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
mtz anaweza mwambia mtu nini kuhusu biashara...watu ni wavivu kupindukia..ndio flights zinaanza...market itakuja tu...nina uhakika kuwa kuna wamarekani ambao bado hawana habari kuhusu hizi flights..
biashara haiji bila mahesabu my friend huwez kuuza ice cream wakat hali ya hewa baridi kali alaf useme biashara itakuja tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
you are very right. New York is a destination not a technical stop. connection inayofanyika New York ni kwenda kwenye states zingine. it's good to have a technical stop in any Afrikan country before going to NY.
 
Nitafurahi KQ wakifanikiwa tuje directly Nairobi.

Ila mimi hii daily flight niliiwekea swali tangu awali.
 
biashara haiji bila mahesabu my friend huwez kuuza ice cream wakat hali ya hewa baridi kali alaf useme biashara itakuja tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilifikiri drimulaina yenu inakwenda Mumbai October 2018 Baada ya kuona adverts hapa JF ama what happened? Sasa "expert" wa biashara hebu tupe hizo hesabu za ndege ilioyoishia kwa parking hapo Chato.
 
Nilifikiri drimulaina yenu inakwenda Mumbai October 2018 Baada ya kuona adverts hapa JF ama what happened? Sasa "expert" wa biashara hebu tupe hizo hesabu za ndege ilioyoishia kwa parking hapo Chato.
Dream liner inaondoka November kwenda Mumbai alaf China sasa hatupeleki ndege nje ovyo tu bila kaungalia side effects hehehhe 45 passengers ndani ya drimuliner kwenda NewyorkπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dream liner inaondoka November kwenda Mumbai alaf China sasa hatupeleki ndege nje ovyo tu bila kaungalia side effects hehehhe 45 passengers ndani ya drimuliner kwenda NewyorkπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaha November sasa?
 
Hahahaha November sasa?
ulifkiri sisi tunakwenda tu ovyoovyo kama nyie muliovunja rekondi drimuliner kupakia 45 passenger hehehh 15 hours time aisee big loss big mess of the yearπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitafurahi KQ wakifanikiwa tuje directly Nairobi.

Ila mimi hii daily flight niliiwekea swali tangu awali.
daily flight to newyork hapo walibugi tena big mess huwezi kuanza biashara kwa kuingiza miguu yote miwili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
daily flight to newyork hapo walibugi tena big mess huwezi kuanza biashara kwa kuingiza miguu yote miwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi, kwa kuwa njia ya Nairobi New York directly imefunguliwa, makampuni mengine licha ya KQ nayo ruksa kufanya direct flights njia hiyo?

Kwa mfano Ethiopian Airlines wakiamua kuchukua hiyo njia nao inakuwa sawa tu kwa sababu facilities zipo?

Au na wao wanafuata mlolongo mrefu?
 
hawakuangalia demand analysis nafkiri walikurupuka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…