KQ departs with "45" passengers from Nairobi to NewYork

hawakuangalia demand analysis nafkiri walikurupuka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda wameenda kwa falsafa ya "Build it, they will come".

Ujue hata Las Vegas waliijenga wakati hakuna wateja. Ilivyokua watu wakawa wanafunga safari kutoka dunia nzima kwenda.

Labda demand itakua.

Ila kuna mtu alikuwa anaipigia kiki hii ndege anasema hatuwezi kupata tiketi kwa sababu watu 7,000 wamefanya booking.

Kwa hawa watu 45 inaonekana habari hizi si za kweki.
 
kwenye maneno 10 ya mkenya chukua moja uende zako 😂😂😂😂
 
Nadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda nao

Route ya via West, mziki wake sio mdogo.
Pamoja na wao wenyewe kufanya direct flights, Delta Airlines nao wameanza majuzi direct flights New York - Lagos.
 
Back
Top Bottom