KQ departs with "45" passengers from Nairobi to NewYork

Daily flight to New York lazima wafeli.Wangeanza na angalau 3 times a week .Hiyo sio sawa na route ya Ulaya (schiphol) au Frunkfurt au Heathrow ambapo utazoa abiria wanaokwenda nchi mbalimbali.Route ya new york haina abiria wa kwenda kufanya connection ,wote wanaishia hapo.
 
mtz anaweza mwambia mtu nini kuhusu biashara...watu ni wavivu kupindukia..ndio flights zinaanza...market itakuja tu...nina uhakika kuwa kuna wamarekani ambao bado hawana habari kuhusu hizi flights..
Wenye nguvu mbona Hamna watu kwenye dege au misifa
Ya kijinga tu I'll Trump awasifu.
 
sasa whats ur point?...anyway, nenda mkazindue kigali na mumbai kule...hizi za New York tuachie sisi wababe...hamuwezani kabisa...sisi tunapaa france, UK, germany, China, Qatar, UAE tangu zamani tu....kote huko tumezoea...nyie ndio mnazindua kigali juzi mnaweza kutuambia nini sasa🙄🙄
 
Nadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda nao
ushindani wa lagos na accra hawauwezi hata kwa sekunde mbili 😂😂😂😂😂 wale wote wana direct flight to newyork
 
Maybe nikuelimishe katika sekta ya uchukuzi(transport)., let me come to your level., take for example mabasi ya masafa marefu(long distance) and they leave at specific timing, basi litaondoka ata kama liko bure, inafanyika hapa Kenya sijui tz ni vipi(not all bus companies though)., mfano unaweza kua Busia (Kenya/Uganda border), then u book Easy coach, Coast Bus or Modern Coast to Nairobi, wakati unaingia unapata mko abiria watano ndani ya basi la kubeba watu 60., ikifika wakati wa kutoka linaondoka, na kama sheria yao hawabebi abiria barabarani, you have to book and board at their offices. At the end of the year when they quantify their income utapata bado wana make faida. Same na airlines, if it is leaving at 0800hrs litaondoka na wale abiria watakua wame book na wenye wamefika., hii ni kawaida ya organized transport industry.
Hapa am seeing majungu na wivu, hakuna point hataaa.
Labda nikuelimishe wewe, mfanyabiasha kabla hajapeleka chombo chake cha usafiri mahali lazima kwanza afanye tathimini ya hali ya Soko. Nyinyi hamkufanya tathimini hiyo. Mlikurupuka kuanzisha safari za ndege kwenda Marekani na Matokeo yake ndiyo hayo!
 
Bado ushikanishi., kq sio atcl, all those were factored in, wivu isikusumbue bure, tulio uone ngoma.
Labda nikuelimishe wewe, mfanyabiasha kabla hajapeleka chombo chake cha usafiri mahali lazima kwanza afanye tathimini ya hali ya Soko. Nyinyi hamkufanya tathimini hiyo. Mlikurupuka kuanzisha safari za ndege kwenda Marekani na Matokeo yake ndiyo hayo!
 
Daily flight to New York lazima wafeli.Wangeanza na angalau 3 times a week .Hiyo sio sawa na route ya Ulaya (schiphol) au Frunkfurt au Heathrow ambapo utazoa abiria wanaokwenda nchi mbalimbali.Route ya new york haina abiria wa kwenda kufanya connection ,wote wanaishia hapo.
gineus at work
 
Hata SGR ilianza na hasara, today its @ 2million passengers. That is what business is all about.
tapatalk_1541314977453.jpeg
 
Tz is a Lazy LDC state. They are losers so wanatafuta weakness za kenya ndio wajiconsole. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapende wasipende Kenya will always lead as they follow.
Maybe nikuelimishe katika sekta ya uchukuzi(transport)., let me come to your level., take for example mabasi ya masafa marefu(long distance) and they leave at specific timing, basi litaondoka ata kama liko bure, inafanyika hapa Kenya sijui tz ni vipi(not all bus companies though)., mfano unaweza kua Busia (Kenya/Uganda border), then u book Easy coach, Coast Bus or Modern Coast to Nairobi, wakati unaingia unapata mko abiria watano ndani ya basi la kubeba watu 60., ikifika wakati wa kutoka linaondoka, na kama sheria yao hawabebi abiria barabarani, you have to book and board at their offices. At the end of the year when they quantify their income utapata bado wana make faida. Same na airlines, if it is leaving at 0800hrs litaondoka na wale abiria watakua wame book na wenye wamefika., hii ni kawaida ya organized transport industry.
Hapa am seeing majungu na wivu, hakuna point hataaa.
 
Ndege sio daladala bro the destination is fixed. Ikuwe na abiria ikose bado itaenda. But how would you know. I forgot you live in an LDC country. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom