Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
I hear today inaondoka na abiria 9! 😆☝
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda naoThe question is did they real plan for this route au wamekulupuka[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 920024View attachment 920025View attachment 920026View attachment 920027
Its spread outWe want to know who occupied the 7000 tickets you said all sold out until January.
Wenye nguvu mbona Hamna watu kwenye dege au misifamtz anaweza mwambia mtu nini kuhusu biashara...watu ni wavivu kupindukia..ndio flights zinaanza...market itakuja tu...nina uhakika kuwa kuna wamarekani ambao bado hawana habari kuhusu hizi flights..
sasa whats ur point?...anyway, nenda mkazindue kigali na mumbai kule...hizi za New York tuachie sisi wababe...hamuwezani kabisa...sisi tunapaa france, UK, germany, China, Qatar, UAE tangu zamani tu....kote huko tumezoea...nyie ndio mnazindua kigali juzi mnaweza kutuambia nini sasa🙄🙄Wenye nguvu mbona Hamna watu kwenye dege au misifa
Ya kijinga tu I'll Trump awasifu.
lakini safari ya USA ilisherekewa sana sasa mbona imeanza kuwatia ukuni😂😂😂😂👏👏👏👏The question is did they real plan for this route au wamekulupuka😂😂😂View attachment 920024View attachment 920025View attachment 920026View attachment 920027
jamani ilikua 45 ikaja 20 na sasa 9 ohhh my GOD 😂😂😂😂😂 aliewaroga amezikwa kaburi gani tuwasaidie majirani zetuI hear today inaondoka na abiria 9! 😆☝
ushindani wa lagos na accra hawauwezi hata kwa sekunde mbili 😂😂😂😂😂 wale wote wana direct flight to newyorkNadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda nao
kweli mwanzo mgumu lakini sio kubeba 45 passengers my friend ndege inayobeba zaidi ya abiria 260 ibebe abiria 45😂😂😂mwanzo mgumu kit it up kq
Labda nikuelimishe wewe, mfanyabiasha kabla hajapeleka chombo chake cha usafiri mahali lazima kwanza afanye tathimini ya hali ya Soko. Nyinyi hamkufanya tathimini hiyo. Mlikurupuka kuanzisha safari za ndege kwenda Marekani na Matokeo yake ndiyo hayo!Maybe nikuelimishe katika sekta ya uchukuzi(transport)., let me come to your level., take for example mabasi ya masafa marefu(long distance) and they leave at specific timing, basi litaondoka ata kama liko bure, inafanyika hapa Kenya sijui tz ni vipi(not all bus companies though)., mfano unaweza kua Busia (Kenya/Uganda border), then u book Easy coach, Coast Bus or Modern Coast to Nairobi, wakati unaingia unapata mko abiria watano ndani ya basi la kubeba watu 60., ikifika wakati wa kutoka linaondoka, na kama sheria yao hawabebi abiria barabarani, you have to book and board at their offices. At the end of the year when they quantify their income utapata bado wana make faida. Same na airlines, if it is leaving at 0800hrs litaondoka na wale abiria watakua wame book na wenye wamefika., hii ni kawaida ya organized transport industry.
Hapa am seeing majungu na wivu, hakuna point hataaa.
Labda nikuelimishe wewe, mfanyabiasha kabla hajapeleka chombo chake cha usafiri mahali lazima kwanza afanye tathimini ya hali ya Soko. Nyinyi hamkufanya tathimini hiyo. Mlikurupuka kuanzisha safari za ndege kwenda Marekani na Matokeo yake ndiyo hayo!
Wivu wa kitanzania in making, kila kitu kina mwanzo na hii Ni off season , wenzetu wametoboa, sisi tuhangaike na Amber rusty, jee ametoka?The question is did they real plan for this route au wamekulupuka😂😂😂View attachment 920024View attachment 920025View attachment 920026View attachment 920027
gineus at workDaily flight to New York lazima wafeli.Wangeanza na angalau 3 times a week .Hiyo sio sawa na route ya Ulaya (schiphol) au Frunkfurt au Heathrow ambapo utazoa abiria wanaokwenda nchi mbalimbali.Route ya new york haina abiria wa kwenda kufanya connection ,wote wanaishia hapo.
Maybe nikuelimishe katika sekta ya uchukuzi(transport)., let me come to your level., take for example mabasi ya masafa marefu(long distance) and they leave at specific timing, basi litaondoka ata kama liko bure, inafanyika hapa Kenya sijui tz ni vipi(not all bus companies though)., mfano unaweza kua Busia (Kenya/Uganda border), then u book Easy coach, Coast Bus or Modern Coast to Nairobi, wakati unaingia unapata mko abiria watano ndani ya basi la kubeba watu 60., ikifika wakati wa kutoka linaondoka, na kama sheria yao hawabebi abiria barabarani, you have to book and board at their offices. At the end of the year when they quantify their income utapata bado wana make faida. Same na airlines, if it is leaving at 0800hrs litaondoka na wale abiria watakua wame book na wenye wamefika., hii ni kawaida ya organized transport industry.
Hapa am seeing majungu na wivu, hakuna point hataaa.
Nadhani majirani ndege yenu iwe inatua Lagos na Accra ili mpate wateja huko wa kwenda nao