Labda wameenda kwa falsafa ya "Build it, they will come".
Ujue hata Las Vegas waliijenga wakati hakuna wateja. Ilivyokua watu wakawa wanafunga safari kutoka dunia nzima kwenda.
Labda demand itakua.
Ila kuna mtu alikuwa anaipigia kiki hii ndege anasema hatuwezi kupata tiketi kwa sababu watu 7,000 wamefanya booking.
Kwa hawa watu 45 inaonekana habari hizi si za kweki.