Tetesi: KQ sasa kufuata mfumo wa biashara kama wa ATCL

stop lying. KQ will borrow the model of ethiopian and middle eastern carriers not ATCL. ie A large holding company will be responsible for both KQ and the JKIA, and the profits from one entity can be used to uplift the other. At the moment JKIA alone has profits of about Ksh 6 billion lying untouched. Read and understand the article, we have nothing to learn from Tanzania in aviation but we have a lot to learn from ethiopia and middle eastern carriers
Thank you for educating
 
Serikali ya Kenya inatumia financing. Haitumii pesa za masomo kama SiSiEmu.
Itachukua deni, ambalo litalipwa na KQ.
Kwani ATCL ndio wamepewa hizo ndege na serikali sadakalawe? Hata na wenyewe wanapaswa kurudisha pesa za mtaji kwa wakala wa ndege za serikali, mbona kila siku wanaambiwa hivyo na Magu? The planes are leased to ATCL kutoka serikalini ndio maana yule mkulima akaikamata ndege kule South sababu ndege ni mali ya serikali na sio ATCL
 
Mfumo wa biashara wa ATCL ni kutumia pesa za elimu, afya, barabara etc. kununua ndege.
KQ itaendelea kufanya biashara kama kampuni.

Yote yaleyale tu, sio ATCL wala KQ watakaowezafanya hizi biashara kiufanisi zikaleta tija. Kwa ufupi serikali ingekaa pembeni ikaachia wenye kufanya biashara wafanye kazi zao. Biashara ya ndege na uendeshaji wake sio jambo rahisi, inahitaji umakini na uzoefu wa hali ya juu. Hata ukifuatiluia Ethiopian airlines bungeni kila siku ni vuta nkuvute mjadala hauishi.
 
Wako vizuri hao Tanzania ikiwa hivyo, kwani wanachukua pesa ya elimu na afya kisha miundombinu ya elimu na afya inaendelea kuimarika, wanastahili pongezi..
Kampuni inaweza kuwa ya serikali, lakini haitumii pesa ya elimu ama afya.
Self sustaining company. Ikitaka lolote, itachukua deni.
 
Una nakala yoyote ya bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2016 mpaka 2019?
ATCL ni kampuni ya seriali gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo miswaada ya kununua ndege ilipitishwa lini bungeni
 
1: KQ haiwezi kutumia business model ya Ethiopian airline, ile ni fully owned na Serikali as if it is one of the Ethiopian government department toka ilipoanzishwa na King Haile Sallasie. By the way, Ethiopia practiced a closed economy system.

2: KQ haiwezi kufuata business models za national carriers za middle eastern countries kwa sababu wao kule wana pesa kibao za mafuta. Therefore, they can afford to run their airlines at a very low or no profit margins by subsiding them through the "all you can drink jet fuel..."

3: KQ haiwezi kufuata business model ya SAA ambayo nayo inachungulia kaburi, siku zake zinahesabika...

4: The only option left kwa GoK ni kufuata business model ya JPM kwa ATCL, cut all the corruption, reduce all the unnessary staff, costs and start from scratch by leasing planes to KQ and strictly monitor their development...

It's time to swallow the pride🙂
 
1: KQ haiwezi kutumia business model ya Ethiopian airline, ile ni fully owned na Serikali as if it is one of the Ethiopian government department toka ilipoanzishwa na King Haile Sallasie. By the way Ethiopia practiced a closed economy system.

2: KQ haiwezi kufuata business models za national carriers za middle eastern countries kwa sababu wao kule wana pesa kibao za mafuta. Therefore, they can afford to run their airlines at a very low or no profit margins by subsiding them through the "all you can drink jet fuel..."

3: KQ haiwezi kufuata business model ya SAA ambayo nayo ibachungulia kaburi, siku zake zinahesabika...

4: The only option left kwa GoK ni kufuata business model ya JPM kwa ATCL, cut all the corruption, reduce all the unnessary staff, costs and start from scratch by leasing planes to KQ and strictly monitor their development...

It's time to swallow the pride🙂

Vyuo vyenu vina matatizo kama mnafunzwa kwamba kubana matumizi ni business model.
 
Kwani ATCL ndio wamepewa hizo ndege na serikali sadakalawe? Hata na wenyewe wanapaswa kurudisha pesa za mtaji kwa wakala wa ndege za serikali, mbona kila siku wanaambiwa hivyo na Magu? The planes are leased to ATCL kutoka serikalini ndio maana yule mkulima akaikamata ndege kule South sababu ndege ni mali ya serikali na sio ATCL

Sio biashara ya serikali kununua ndege za mamilioni ama mabilioni ya dola.
Sana sana serikali ya nchi maskini.
 
4: The only option left kwa GoK ni kufuata business model ya JPM kwa ATCL, cut all the corruption, reduce all the unnessary staff, costs and start from scratch by leasing planes to KQ and strictly monitor their development...

Business model ya Supremo ni kutumia pesa ya matumizi ya nchi kununua ndege.
Hii hata upake sukari mara ngapi, ukweli ndio huo.
 
Soma habari, wacha ujuaji.
Serikali ya Kenya itatafuta financing. Hakuna pesa ya elimu na afya itapelekwa KQ.

KQ itaendelea kulipia hilo deni, wala sio serikali ya Kenya.
Sasa serikali ikitafuta financing kuna tofauti gani na serikali kutumia hela zake, huyo financer si ataidai serikali, na hizo hela za serikali si ndio za huduma za kijamii, ndio maana nasema we jamaa ni mjinga sana.
 
Acha utoto! Wana nationalize hilo shirika, maana yake nini? Halafu hiyo financing unadhani itatoka from private party? La hasha! Otherwise basi mseme mnaachia hisa zote za GoK kwenda kwa KQ lenders!

Tanzania kuna shule nyingi na nzuri zenye facility za kutosha kuliko Kenya. Likewise kwenye sekta ya afya tumewapiga bao mbali sana in general terms, maji ndio kabisa tusifike huko..miundombinu ya reli na barabara tuko vizuri.

Na ndege ni za serikali, wamewakodishia ATCL. Wanatoa rejesho ku service loan kawaida. Pia ATCL haitegemei ndege tu kujiandesha. Sekta ya Anga iko chini ya GoT kwa 100%. Kuna mapato ya viwanja na rada. FYI rada nne zilizonunuliwa cash, mbili ziko on operations as we speak na tayari zimeshatengeneza fedha ya gharama ya rada zote nne. Ya tatu soon itazinduliwa then ya nne next year. Hivyo ATCL ni babalao hapa E.A tunawakimbiza hao Ethiopian kwa karibu....

Amkeni na muanze kujifunza kwanza from Tz kabla ya hizo ndoto za mchana baada ya kushiba githeri.
 
Yaani serikali badala ya kutafuta hela iamue kutumia za bajeti ya huduma za kijamii haaafu unaita huo ndio ujanja, watu wake wateseke na kusota kisa mnanunua mindege ambayo watakua wanaiona ikipita angani huku wanaumwa maradhi na kufa kwa kukosa madawa hata ya bei nafuu.

Ndege zenyewe mnazipigisha ruti za daladala za ndani, hazitoki maana kule nje mnasubiriwa na wakulima wa kibeberu mliowadhulumu.
 
Sasa serikali ikitafuta financing kuna tofauti gani na serikali kutumia hela zake, huyo financer si ataidai serikali, na hizo hela za serikali si ndio za huduma za kijamii, ndio maana nasema we jamaa ni mjinga sana.

Deni litalipwa na KQ, kama inavyofanya sasa hivi. Serikali kazi yake ni kuwa guarantor pekee.

Na KQ haitakuwa shirika la kwanza la serikali kuwa na deni la nje. Kwa nini vitu rahisi kama hivi vina mchanganya Watanzania?
 
Acha utoto! Wana nationalize hilo shirika, maana yake nini? Halafu hiyo financing unadhani itatoka from private party? La hasha! Otherwise basi mseme mnaachia hisa zote za GoK kwenda kwa KQ lenders!

Tanzania kuna shule nyingi na nzuri zenye facility za kutosha kuliko Kenya. Likewise kwenye sekta ya afya tumewapiga bao mbali sana in general terms, maji ndio kabisa tusifike huko..miundombinu ya reli na barabara tuko vizuri.

Na ndege ni za serikali, wamewakodishia ATCL. Wanatoa rejesho ku service loan kawaida. Pia ATCL haitegemei ndege tu kujiandesha. Sekta ya Anga iko chini ya GoT kwa 100%. Kuna mapato ya viwanja na rada. FYI rada nne zilizonunuliwa cash, mbili ziko on operations as we speak na tayari zimeshatengeneza fedha ya gharama ya rada zote nne. Ya tatu soon itazinduliwa then ya nne next year. Hivyo ATCL ni babalao hapa E.A tunawakimbiza hao Ethiopian kwa karibu....

Amkeni na muanze kujifunza kwanza from Tz kabla ya hizo ndoto za mchana baada ya kushiba githeri.

Enda ukabishane na wajinga wenzanko wa LDC.
Sina wakati wa kujibu fantasy zako.

Serikali ya Kenya itatafuta na kuwa guarantor wa loan ya KQ. Ila haimaanishi ndio italipa hilo deni.
KQ ndio italipa deni.

Tofauti ni serikali ya udikteta wa Magufuli ni kwamba huko serikali imenunua ndege, kisha kuzipa ATCL.
ATCL haina risk ya deni.
 
Back
Top Bottom