Tetesi: KQ sasa kufuata mfumo wa biashara kama wa ATCL

Tetesi: KQ sasa kufuata mfumo wa biashara kama wa ATCL

Enda ukabishane na wajinga wenzanko wa LDC.
Sina wakati wa kujibu fantasy zako.

Serikali ya Kenya itatafuta na kuwa guarantor wa loan ya KQ. Ila haimaanishi ndio italipa hilo deni.
KQ ndio italipa deni.

Tofauti ni serikali ya udikteta wa Magufuli ni kwamba huko serikali imenunua ndege, kisha kuzipa ATCL.
ATCL haina risk ya deni.
Utajijuu wenyewe, you don't know how leaders who came to learner few weeks picked from Tanzania modal.
 
Vyuo vyenu vina matatizo kama mnafunzwa kwamba kubana matumizi ni business model.
Unatoka nje ya mada kwa kuwa either hujui unachoongea au huna cha kuongea, kwanza hata shule yenyewe inawezekana hujaenda.
 
Kwani ATCL ndio wamepewa hizo ndege na serikali sadakalawe? Hata na wenyewe wanapaswa kurudisha pesa za mtaji kwa wakala wa ndege za serikali, mbona kila siku wanaambiwa hivyo na Magu? The planes are leased to ATCL kutoka serikalini ndio maana yule mkulima akaikamata ndege kule South sababu ndege ni mali ya serikali na sio ATCL
Wamepewa na serikali gani wakati bunge halijui lolote kuhusu ununuzi wa ndege...
Sema wamepewa na office ya magu...
 
Bajeti yake ilipishwaje?

Bwahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi nafikiria ni mswada, kumbe alisema tu km manunuzi yameshafanyika.

Ile siku utaleta mswada kujadiliwa bungeni kuhusu mananuzi ya hzo ndege ni tag.
 
Yaani serikali badala ya kutafuta hela iamue kutumia za bajeti ya huduma za kijamii haaafu unaita huo ndio ujanja, watu wake wateseke na kusota kisa mnanunua mindege ambayo watakua wanaiona ikipita angani huku wanaumwa maradhi na kufa kwa kukosa madawa hata ya bei nafuu.
Ndege zenyewe mnazipigisha ruti za daladala za ndani, hazitoki maana kule nje mnasubiriwa na wakulima wa kibeberu mliowadhulumu.
Napataga shida ya kukujibu sababu naona najibishana na kubwa jinga, ina maana hujui serikali ikiwekeza huko inaajiri watanzania na kuimprove utalii and other movement of people and businesses, au unataka serikali ijali watu wake maskini tu isiwajali matajiri.
 
Deni litalipwa na KQ, kama inavyofanya sasa hivi.
Serikali kazi yake ni kuwa guarantor pekee.

Na KQ haitakuwa shirika la kwanza la serikali kuwa na deni la nje.

Kwa nini vitu rahisi kama hivi vina mchanganya watanzania?
Guarantor? Wth. Hizo hela KQ watakazolipa zitatokea wapi? Au unataka kuniambia serikali imeamua kuwa guarantor without them injecting any cent, is that what your foolish self thinks?
 
Kenya Airways To Emulate Emirates and Ethiopian Airlines In Nationalisation Proposal
 
Deni litalipwa na KQ, kama inavyofanya sasa hivi.
Serikali kazi yake ni kuwa guarantor pekee.

Na KQ haitakuwa shirika la kwanza la serikali kuwa na deni la nje.

Kwa nini vitu rahisi kama hivi vina mchanganya watanzania?
Unajua maana ya neno " Nationalization of KQ?", hivi hizo shule zenu zaidi ya ukabila mnafundishwa nini tena?. Hiyo maana yake ni kwamba, KQ itakuwa sawa na Kenyatta Hospital, inapata bajeti toka serikalini sawa na institutions zote za serikali, kwamba KQ itakiwa inapambana na sectors zingine zote za umma katika kuwania pesa za mgawo wa serikali.

Kwaufupi ni kwamba Kenya mnafuata mulemule anamopita Magufuli, ile jeuri yenu imefika mwisho, mumeanza kuwa wapole sasa, viongozi wenu wengi sana wanakuja Tanzania kujifunza mambo mbalimbali. Karibuni wote ktk chuo cha mafunzo.
 
Tanzanians have a serious Inferiority complex...waah.Mtapona lini?
 
Hebu nieleze kwanza, wabunge wanajua kweli km ndege zilinunuliwa kivipi
Mimi sio mbunge ni machinga huku nanjilinji lakini najua ndege zilinunuliwa na zipo zinafanya biashara.

Ukikutana nao hao wabunge waombe nakala za makisio ya mapato na matumizi ya serikali kisha soma yahusuyo wizara ya uchukuzi na usafirishaji ukikosa kipengele kuhusu maboresho ya sekta ya anga na makisio ya ununuzi wa ndege njoo uungane na wapiga zumari hapa kuikosoa serikali katika mfumo Wa ununuzi Wa cash lakini uwe umejisomea faida na hasara za mfumo huo.

Asante.
 
Bwahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi nafikiria ni mswada, kumbe alisema tu km manunuzi yameshafanyika...

Ile siku utaleta mswada kujadiliwa bungeni kuhusu mananuzi ya hzo ndege ni tag
Kwahiyo ilienda nunuliwa kabla ya bajeti kupitishwa, aisee!
 
Utasumbuka kuwajibu wanaojitoa ufahamu kwa makusudi wakidhani wanajua kumbe hawana wajuacho ushabiki mtupu
Maskini wa Mungu
Muswada na bajeti ya manunuzi wapi na wapi?

Muswada ni bill of law [emoji22]
 
Mimi sio mbunge ni machinga huku nanjilinji lakini najua ndege zilinunuliwa na zipo zinafanya biashara.
Ukikutana nao hao wabunge waombe nakala za makisio ya mapato na matumizi ya serikali kisha soma yahusuyo wizara ya uchukuzi na usafirishaji ukikosa kipengele kuhusu maboresho ya sekta ya anga na makisio ya ununuzi wa ndege njoo uungane na wapiga zumari hapa kuikosoa serikali katika mfumo Wa ununuzi Wa cash lakini uwe umejisomea faida na hasara za mfumo huo.
Asante.
Ooooo!!heheeeee, kubali tu ununuzi wa ndege ulifanywa na jiwe...alinunua ndege hata bila ya kuwashirikisha watu wa mjengoni..

Kwhyo inamaana yule jamaa huchukua fedha anapojiskia, hta ile 1.5 teillion si ajabi kaipiga mafungu na wanawe
 
Deni litalipwa na KQ, kama inavyofanya sasa hivi.
Serikali kazi yake ni kuwa guarantor pekee.

Na KQ haitakuwa shirika la kwanza la serikali kuwa na deni la nje.

Kwa nini vitu rahisi kama hivi vina mchanganya watanzania?
Kwa hali ilivyo sasa KQ inaingiza hasara haileti faida, hilo deni litalipiwa na faida ya mapato ya kiwanja(JKIA) ambayo yangetumika kugharamia huduma za kijamii kama ulizo sema serikali ya Tanzania imeenda kununulia ndege.

Hakuna tofauti hapo.
 
Back
Top Bottom