babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Many Kenyans suffering na inferiority complex.Tanzanians have a serious Inferiority complex...waah.Mtapona lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Many Kenyans suffering na inferiority complex.Tanzanians have a serious Inferiority complex...waah.Mtapona lini?
Guarantor? Wth. Hizo hela kq watakazolipa zitatokea wapi? Au unataka kuniambia serikali imeamua kuwa guarantor without them injecting any cent, is that what your foolish self thinks?
Kwa hali ilivyo sasa KQ inaingiza hasara haileti faida, hilo deni litalipiwa na faida ya mapato ya kiwanja(JKIA) ambayo yangetumika kugharamia huduma za kijamii kama ulizo sema serikali ya Tanzania imeenda kununulia ndege.
Hakuna tofauti hapo.
Unajua maana ya neno " Nationalization of KQ?", hivi hizo shule zenu zaidi ya ukabila mnafundishwa nini tena?. Hiyo maana yake ni kwamba, KQ itakuwa sawa na Kenyatta Hospital, inapata bajeti toka serikalini sawa na institutions zote za serikali, kwamba KQ itakiwa inapambana na sectors zingine zote za umma katika kuwania pesa za mgawo wa serikali.
Kwaufupi ni kwamba Kenya mnafuata mulemule anamopita Magufuli, ile jeuri yenu imefika mwisho, mumeanza kuwa wapole sasa, viongozi wenu wengi sana wanakuja Tanzania kujifunza mambo mbalimbali. Karibuni wote ktk chuo cha mafunzo.
Kenya haitumii pesa za elimu kununua ndege. Kama hilo umeshindwa kuelewa, siwezi kusaidia.
Shareholding will be restructured to have the government buyout current shareholders.
But the government will not use its money. It will seek financing, under better terms due to the decreased defaulter risk.
Every year, KQ will service this debt with its revenue, not the government.
Sasa hiyo pesa ya Elimu huenda wapi ikiwa hali ni hii ?
View attachment 1266444
Serikali yenu inavyonunua hizo shares za kq from other shareholders, hiyo hela zinatokea matakoni mwako? Hizo si hela serikali ingewekeza kwenye mambo mengine.Go back to school.
Shule za Bongolala ni ujinga mtupu.
Wewe rafiki yako akichukua deni, na akufanye guarantor, inamaanisha utalipa?
LDC economy, LDC brains.
Bajeti ilipitichwa kichwani mwa jiwe..waja kujitoa ufahamu hapaKwahiyo ilienda nunuliwa kabla ya bajeti kupitishwa, aisee!
Kwn siku hizi bajeti hupitishwa bila ya wabunge kuijadili...Maskini wa Mungu
Muswada na bajeti ya manunuzi wapi na wapi?
Muswada ni bill of law [emoji22]
ATCL inamilikiwa na office ya Magu, KQ itaenda kumilikiwa na GOKUnajua maana ya neno " Nationalization of KQ?", hivi hizo shule zenu zaidi ya ukabila mnafundishwa nini tena?. Hiyo maana yake ni kwamba, KQ itakuwa sawa na Kenyatta Hospital, inapata bajeti toka serikalini sawa na institutions zote za serikali, kwamba KQ itakiwa inapambana na sectors zingine zote za umma katika kuwania pesa za mgawo wa serikali.
Kwaufupi ni kwamba Kenya mnafuata mulemule anamopita Magufuli, ile jeuri yenu imefika mwisho, mumeanza kuwa wapole sasa, viongozi wenu wengi sana wanakuja Tanzania kujifunza mambo mbalimbali. Karibuni wote ktk chuo cha mafunzo.
So sad for those kids [emoji29]Wewe ni kama siafu moja kwa maswala ya ndovu. Kenyatta sasa nikama mwanafunzi wa darasa la kwanza mwalimu akiwa JPM..Hisa za KQ lazima serikali itanunua, hatakama wakenya watalala njaa na watoto wasomee jalalani..(Wamezoea tuu hakuna namna)
View attachment 1265387
Ujinga sio amri bali hiyari ya mjinga kuendelea kuwa mjinga bila sababu.Bajeti ilipitichwa kichwani mwa jiwe..waja kujitoa ufahamu hapa
RASMI SASA: Baada ya Shirika la KQ kuliwa na Mabeberu wa KLM na mijizi mingine ya asili ya kizungu. Sasa wameamua itoshe, Serikali itanunua hisa zote itaifishe shirika.
Inaonekana JPM alivyo waondoa SAA kwa umiliki ATCL ni jambo la kuigwa.
Wakenya mna mengi ya kujifunza kutoka kwa huyu mzee wa Chato, muanzie na SGR na ufisadi.
=========
The Treasury has announced plans to buy out Air France-KLM, local banks and more than 80, 000 individual shareholders from Kenya Airways KQ • 2.96 ▲ 8.82% and delist the national carrier from the Nairobi Securities Exchange (NSE)
Transport Principal Secretary Esther Koimett told Parliament on Thursday that the buyout plan comes after the House voted in July to nationalise Kenya Airways to save it from mounting debts.
The Transport ministry is working with the International Finance Corporation (IFC) to hire a technical expert to conduct a fresh valuation and buying price.
The loss-making airline is 48.9 percent government-owned, 38.1 percent (lenders), 7.8 percent (Air France-KLM), 2.4 percent (Kenya Airways employees) and 2.8 percent (small investors).
“You have to ensure that everybody gets their dues, that is why you have to do valuation. Once you know how much it will cost you and have the process under the law… it is a matter of getting the shareholders themselves to pass the necessary resolutions to facilitate the payouts within the law,” Ms Koimett said.
She added that the technical expert will be hired ahead of Christmas and that the government targets to close the buyout by end of next year, setting the ground for its delisting from the NSE where Kenya Airways listed in 1996 through a privatisation plan.
Kenya Airways shares have plunged 81 percent at the Nairobi bourse to Sh2.72 each, valuing the carrier at Sh15.45 billion.
The market valuation puts the lenders’ stake at Sh6 billion, Air France-KLM (Sh1.23 billion), Kenya Airways employees (Sh380 million) and small investors (Sh443 million).
A consortium of local lenders, who acquired 38 percent of the company’s equity during the 2017 restructuring, could be paid through government debt, possibly 10-year Treasury bonds, an official at the Transport ministry said. They converted the Sh17 billion debt into equity.
On Thursday, KQ chairman Michael Joseph warned of financial duress for the national carrier if the buyout deals and the nationalisation plan are not completed in the next six months.
“We need a decision because in the next six months we run the danger of considering alternative measures that are not pleasant,” Mr Joseph told MPs without giving details.
Kenya wants to emulate countries like Ethiopia, which runs air transport assets - from airports to fuelling operations - under a single company, using funds from the more profitable parts to support others.
Under the model approved by Parliament, Kenya Airways will become one of four subsidiaries in an Aviation Holding Company.
The others will be Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), the country’s biggest airport; an aviation college; and Kenya Airports Authority, which will operate all the nation’s other airports.
Kenya Airways could renegotiate its aircraft leases based on its reduced risk profile, he said, noting that the airline needs more than its 40 planes.
JKIA alone has annual revenues of Sh12 billion, half of which is profit, a parliamentary report shows. Nationalization will exempt Kenya Airways from taxes on engines, maintenance and fuel, allowing it to sell cheaper tickets, the report says.
The airline charges more than its competitors, forcing price-sensitive passengers through hubs like Addis Ababa and Kigali.
Source: Business Daily Africa