Tetesi: KQ sasa kufuata mfumo wa biashara kama wa ATCL

Guarantor? Wth. Hizo hela kq watakazolipa zitatokea wapi? Au unataka kuniambia serikali imeamua kuwa guarantor without them injecting any cent, is that what your foolish self thinks?

Go back to school. Shule za Bongolala ni ujinga mtupu.

Wewe rafiki yako akichukua deni, na akufanye guarantor, inamaanisha utalipa?
LDC economy, LDC brains.
 
Kwa hali ilivyo sasa KQ inaingiza hasara haileti faida, hilo deni litalipiwa na faida ya mapato ya kiwanja(JKIA) ambayo yangetumika kugharamia huduma za kijamii kama ulizo sema serikali ya Tanzania imeenda kununulia ndege.

Hakuna tofauti hapo.

Wewe ni mjinga wa wajinga. Hasara ya KQ inatokea sana sana kwa sababu inalipa madeni kila mwaka.
Kwanini unahesabu deni kando ya hasara?
 

Kenya haitumii pesa za elimu kununua ndege. Kama hilo umeshindwa kuelewa, siwezi kusaidia.

Shareholding will be restructured to have the government buyout current shareholders.
But the government will not use its money. It will seek financing, under better terms due to the decreased defaulter risk.

Every year, KQ will service this debt with its revenue, not the government.
 

Sasa hiyo pesa ya Elimu huenda wapi ikiwa hali ni hii ?
 
Go back to school.
Shule za Bongolala ni ujinga mtupu.

Wewe rafiki yako akichukua deni, na akufanye guarantor, inamaanisha utalipa?
LDC economy, LDC brains.
Serikali yenu inavyonunua hizo shares za kq from other shareholders, hiyo hela zinatokea matakoni mwako? Hizo si hela serikali ingewekeza kwenye mambo mengine.

But KQ fucked up, hence de government has to use their money.
 
ATCL inamilikiwa na office ya Magu, KQ itaenda kumilikiwa na GOK
 
Nilivyo soma hapo unapo sema JPM amewaondoa SAA nikaishia hapo kwa sababu wewe ni mpumbbavu na limbukeni.

Jaribu kusoma historia ya ATCL usilete story za lumumba hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…