SIjapinga chenye kimesemwa na KQ, NAch pinga hapo ni wewe ulipoanza ku compare KQ na ATCL business.... Hio ni kama mimi nianze ku compare business model ya FlyEmirates na KQ ... Hailinganiki!!!!!
KQ iko na 430 pilots na inahitaji marubani wengine 200 wapya ili iwe na marubani 650 wanaofanya kazi in shifts, kwasababu wengine wamekua poached na kina Qatar,Emirates,Turkish... etc
https://www.businessdailyafrica.com...n-past-one/3946234-5073036-sc7jrez/index.html
https://www.fixusjobs.com/kenya-airways-kq-salaries/
Ukichanganya na ground crew, technicians, engineers, flight attendants, wanafika zaidi ya 4,000, hii inamaanisha kulingana na sheria hao ni wafanyikazi wengi wnaofanyia kampuni moja kazi, kiasi cha kua wanaruhusiwa ku form Workers Union, na unajua wafanyikazi waki form union ni lazima maslahi yao yote yaangaliwe --- remuneration, accommodation, working conditions, allowances, medical insurance, life insurance...etc Alafu wewe unakuja hapa na comparizon zako na ATCL ambayo marubani hawafiki hata 30! eti ATCL is making good business!, you are not on KQ's level!!!!!