Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka jana😆😆

Hivi muhimu ni safari nyingi au ni kupata pesa nyingi?. Kenya inapata watalii wengi kuliko Tanzania, lakini Tanzania inapata pesa Mara mbili zaidi kutokana na utalii zaidi ya Kenya.
Safar nyingi ndo chanzo cha mapato mengi kwa kenya kwenye shirika lao ndo kama hivyo kinacho waua ndo hicho ila sidhani kama safar za ATCL ni nyingi kuliko za KQ
 
Vivutio vya utalii vilivyopo kenya utalinganisha na tanzania tanzania vipo vingi ila kenya ni vichache. Suala la KQ kama huwa mnafanya safar na abiria 10 kwenye ndege hapo sawa kwamba route nyingi mapato hakuna
Kama wingi ndio mapato, kwa nini watalii wengi wasiipe mapato mengi Kenya kuizidi Tanzania?
 

ATCL is not operating profitably. It is not giving any dividend to the government.. actually it is taking money out of the government.

Also, Ethiopian may be 100% owned by the government, but it operates like an airline. They take in debt and borrow loans. They lease planes.
They have an order of about 50 planes. You think their government is the one which placed this order?
 
Vivutio vya utalii vilivyopo kenya utalinganisha na tanzania tanzania vipo vingi ila kenya ni vichache. Suala la KQ kama huwa mnafanya safar na abiria 10 kwenye ndege hapo sawa kwamba route nyingi mapato hakuna
Kama vivutioa vya utalii ni Vingi kwanini Kenya wanapata watalii wengi?, biashara inahitaji akili sio wingi wa safari au watalii, tofautisha kati ya Quantity na Quality.
 
SIjapinga chenye kimesemwa na KQ, NAch pinga hapo ni wewe ulipoanza ku compare KQ na ATCL business.... Hio ni kama mimi nianze ku compare business model ya FlyEmirates na KQ ... Hailinganiki!!!!!

KQ iko na 430 pilots na inahitaji marubani wengine 200 wapya ili iwe na marubani 650 wanaofanya kazi in shifts, kwasababu wengine wamekua poached na kina Qatar,Emirates,Turkish... etc https://www.businessdailyafrica.com...n-past-one/3946234-5073036-sc7jrez/index.html
https://www.fixusjobs.com/kenya-airways-kq-salaries/

Ukichanganya na ground crew, technicians, engineers, flight attendants, wanafika zaidi ya 4,000, hii inamaanisha kulingana na sheria hao ni wafanyikazi wengi wnaofanyia kampuni moja kazi, kiasi cha kua wanaruhusiwa ku form Workers Union, na unajua wafanyikazi waki form union ni lazima maslahi yao yote yaangaliwe --- remuneration, accommodation, working conditions, allowances, medical insurance, life insurance...etc Alafu wewe unakuja hapa na comparizon zako na ATCL ambayo marubani hawafiki hata 30! eti ATCL is making good business!, you are not on KQ's level!!!!!
 
Kama vivutioa vya utalii ni Vingi kwanini Kenya wanapata watalii wengi?, biashara inahitaji akili sio wingi wa safari au watalii, tofautisha kati ya Quantity na Quality.
So kenya na tz nani ana quantity na quality na akili kubwa ya kutangaza vivutio ambavyo havipo nchini kwake
 
Hahahahaha, modality ya ET na ATCL ni sawa sawa, it is 100% owned by Government but is semi autonomous.

Ninyi wakenya uwezo wenu wa mambo ni mdogo sana ndio sababu nothing is working. Hayo yote mbayoyafanya sisi tulishayafanya na kuona matatizo yake, sasa tunarekebisha makosa.

Air Tanzania ilishakabidhiwa share holders kama ilivyo KQ sasa hivi lakini hakuna la maana zaidi ya hasara, tumejifunza kutokana ET, sasa hivi ATCL inafanya vizuri Sana.

Hatuhitaji uamini, wewe endelea kubisha, sisi tuna malengo yetu ambayo hadi sasa tunakwenda vizuri sana.
 
KQ inakimbia kwenda JFK kutafuta misifa huku wakibeba abiria 45[emoji38][emoji38][emoji38]
Eti wana route nyingi[emoji38][emoji38][emoji38]
Kenya ni watu esnaopenda sifa wakati uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, Magufuli atawatawala katika kila eneo.
 
Hahahahaha, wewe acha kupiga kelele, katika biashara yoyote kitu muhimu ni profit, sasa kuna faida gani kuwa na biashara kubwa lakini inapata hasara hakuna faida?.

Tell me, jirani yako ana Duka kubwa Mara mbili ya Duka lako na wafanyakazi 100 lakini anapata hasara kila mwaka, na wewe una Duka dogo na wafanyakazi 5 lakini unapata faida na huna deni, ipi ni better?. Ninahisi kwa wakenya mtachagua Duka kubwa lenye kutengeneza hasara kwasababu ninyi ni wapenda SIFA za kijinga.
 

ATCL has never bought even a spoon or plate on their planes. All money comes from the government.
All ATCL does is haemorrhage money and come back to Magufuli with another bowl.
 
They are much better off than a certain national carrier that has a negative equity. To clear any doubt; negative equity means total liabilities exceed total assets.
Or put it this way; mmoja ni mgonjwa lakini mwingine kafa.
Alokufa liabilities zake zina exceed current assets kwa Tshillings ngapi?
 

Jeezas
 
ATCL has never bought even a spoon or plate on their planes. All money comes from the government.
All ATCL does is haemorrhage money and come back to Magufuli with another bowl.
Hahahahaha, lazima chupi zitawabana safari hii, huku KQ inatia hasara, Huku old SGR ya mkopo nayo inapata hasara, nani amewalaani Kenya?
 
Yani mpaka sasa bado haujaelewa ripoti ulioileta wewe!
2017 ndo wameweka data ya 9 months.
2018 ndo wameweka full 12 month data ya 12 months.
In the same spirit ... Tz ni nchi yenye Uchumi mzuri kuliko Marekani manake Marekani wamekua waki struggle kutengeneza faida zaidi kama nchi in the last decade lakini Tz imekua ikitengeneza crazy profits Kwa kila sector ya Uchumi in the last decade Uchumi unakua kwa zaidi ya 7% kila mwaka! Hongereni Tanzania Kwa kuipiku Marekani na kua na the best economic model!!!!
 
Sisi tunalinganisha serikali ya Kenya na Tanzania, acha kulea uvundo, serikali yenu imejaa wakikuyu acha kukimbia ukweli, acheni ukabila anzeni kuandamana serikali yenu inawaibia mchana kweupe.
 

Ahaaa haaa haaa
Those are laymen arguments.
If you don't understand ratio analysis of financial report it's better you shut up. Jaribu kuficha upumbavu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…