Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuWe jamaa huu mjadala ni very constructive unafaa kujifunza kwa ujumla wake......
Ila ulivyouleta hapa Inaonekana tayari unajibu lako kichwani.
Hahahaha, ndio sababu nimekuambia wewe unafaa kuwa chini ya Uhuru Kenyatta, uvae mashati ya vitenge na kuzunguka dunia wakati huku nyuma watu wanapiga hela kila idara.Mkuu
Siwezi fanyakazi chini Ya Magufuli maana core belief yake kuhusu serikali na nini maana ya maendeleo ni tofauti kabisa!
Mimi ni believer wa True Capitalism,Private Ownership na Personal Freedoms of citizens...Na yeye anaamini Serikali inatakiwa kua Totalitarian Communist na iwaelekeze citizens what to do and what not to do na kunyang'anya hawa mali zao na kuwapa wale kwa lazima..thats wrong
Unashindwa kuelewa...Hata kodi anayolipa Zuckerberg hailingani na tekash au mange kimambi
iko ivyo dunia nzima matajiri wanalipa juu kuliko maskini
kuhusu tz hatuna cha kujifunza toka kenya kwa tuko tofaut sana kutulinganisha nchi ya kijamaa na kibepari
Hahahaha, huyo jamaa kichwa chake kinapata moto haraka na kujiresi, hivi ukisoma hiyo post yake unaona kuna mtu hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa huu mjadala ni very constructive unafaa kujifunza kwa ujumla wake......
Ila ulivyouleta hapa Inaonekana tayari unajibu lako kichwani.
serkali ni msimamizi wa sheria so kama unavunja serkali itaingilia tuuMkuu
Wala hata sio hivyo...
Issue hapa nimejaribu ku pinpoint fundamental differences kati ya mfumo wa Tanzania na Kenya
Kenya ni Free capitalism inayohakikisha free enterprise,private ownership,free innovation na private liberties....
Tanzania ni communism/socialism ambapo watu hawapo free ku enterprise bila kuingiliwa na serikali,na serikali ni corcive force kunyang'anya mali za hawa na kuwapa wale kwa intimidation,hivyo unaua private ownership,free innovation inakufa maana ukiinnovate serikali inavamia kwa direct orders unagawana na the poor,hivyo hakuna incentive ya ku-innovate
Mali binafsi inasaidia watu kufanya kazi kwa bidii kuzalisha mali ambazo ni zao binafsi bila kugawana na mtu maana mwanadamu ni selfish,Kenya ina guarantee hili,Tanzania inakataa mtu kua na private mali na kua selfish...
Kama Tanzania tutafeli kugundua tabia binafsi za wanadamu na kuzi-reward hatutakaa tuweze ku-get the best out of our people...
Kenya mtu mali yake ni yake,ukigusa ni mahakamani na haki inatendeka,Tanzania government by intimidation and coericive force can take anything na mahakama isikusaidie choichote....Hii ni total receipt of failure kujenga GDP ya nchi!
point yako hapa sasa iltakiwa iwe faida za ubepari na ujamaaUnashindwa kuelewa...
Kodi ya Mark ni kubwa zaidi ya Mange Kimambi,yes.....
Serikali ikishachukua hiyo hela inatakiwa kutoa huduma 3 tu,kulinda wananchi wote against internal and external thugs,pili mfumo wa mahakama kuhakikisha contracts between people are enforced,na public good projects,and not otherwise.....Kila kitu kingine binafsisha,hadi viwanja vya makaburi,binafsisha..tena tungekua makaburi bora kabisa kama ya New York State!
Usilete stori ya elimu bure,umeme bure,matibabu bure,etc..Zote kila mtu alipe kwa kadiri ya nguvu zake maana ni huduma,huwezi lipia kufa kwa amani...Hii huduma za za bure ni wanasiasa wanaongea kutumia kodi vibaya kujijengea kura maana kama unatoa elimu bure basi morality hiyo hiyo unaweza tumia kutoa chakula bure kila nyumba..
The whole country ni welfare,which is not the solution ni total failure wanasiasa kujitia they have all the money in this world to feed everybody wakati govt never have its own money bali inachukua money from other people and feed others by stealing through taxes.
Tatizo ni matumizi ya our taxes.....
Taxes zinatumika kuneemesha group fulani la wananchi kwenye nchi kwa kulipa nyumba za bure kwa kuchukua hela kutoka group lingine la watu..Huu ni mfano na Thats stealing
ulsema tusiwafokee 😁😁twende nao mdomdo tuuHahahaha, huyo jamaa kichwa chake kinapata moto haraka na kujiresi, hivi ukisoma hiyo post yake unaona kuna mtu hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulsema tusiwafokee [emoji16][emoji16]twende nao mdomdo tuu
Sheria za nchi zinaruhusu serikali kufanya huo unyang'anyi....Kenya hazipo...serkali ni msimamizi wa sheria so kama unavunja serkali itaingilia tuu
usnambie wenye city mall au tanga fresh ni serkali....🤔?
hakuna mtu tuu ananyan'ganywa ardhi au mali binafsi pasipo kufata sheria
sheria ya ardhi (fidia
sheria ya uhujumu uchumi (utaifishaji
au ulkua unamaanisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unashindwa kuelewa...
Kodi ya Mark ni kubwa zaidi ya Mange Kimambi,yes.....
Serikali ikishachukua hiyo hela inatakiwa kutoa huduma 3 tu,kulinda wananchi wote against internal and external thugs,pili mfumo wa mahakama kuhakikisha contracts between people are enforced,na public good projects,and not otherwise.....Kila kitu kingine binafsisha,hadi viwanja vya makaburi,binafsisha..tena tungekua makaburi bora kabisa kama ya New York State!
Usilete stori ya elimu bure,umeme bure,matibabu bure,etc..Zote kila mtu alipe kwa kadiri ya nguvu zake maana ni huduma,huwezi lipia kufa kwa amani...Hii huduma za za bure ni wanasiasa wanaongea kutumia kodi vibaya kujijengea kura maana kama unatoa elimu bure basi morality hiyo hiyo unaweza tumia kutoa chakula bure kila nyumba..
The whole country ni welfare,which is not the solution ni total failure wanasiasa kujitia they have all the money in this world to feed everybody wakati govt never have its own money bali inachukua money from other people and feed others by stealing through taxes.
Tatizo ni matumizi ya our taxes.....
Taxes zinatumika kuneemesha group fulani la wananchi kwenye nchi kwa kulipa nyumba za bure kwa kuchukua hela kutoka group lingine la watu..Huu ni mfano na Thats stealing
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MkuuHarafu kuna wajinga unawakuta kule wanashindanisha Kenya na Tanzania.
Licha ya hii nchi kuwa na uongozi mbovu ila kuna watu kucha ni kuisifia tu.
KRA inakusanya sana sababu ni rafiki wa wafanya biashara, leo hii mfanya biashara yoyote akisikia TRA hapa Tanzania, anasikia kuikimbia biashara yake kama sio kuifunga.
inaonekana haujui serkal hasa ya tanzania inafanyaje kazi au uko misinformedSheria za nchi zinaruhusu serikali kufanya huo unyang'anyi....Kenya hazipo...
Kuona serikali haijafanya hivyo does not mean haifanyi....
Makampuni binafsi Tanzania mengi yameuwawa na serikali bila hata kwenda mahakamani..
Unayajua na wala sina muda wa kuyataja..mojawapo ni Fastjet,iliuwawa na serikali in national television mchana kweupe bila court hearing,thats gangsterism!
Kosa kubwa la Tanzania ni mfumo wa ki-communism na kutokua na Rule of Law na kua na sheria mbaya zisizotaka private enterprise na free capitalism....
With all these,kimfumo serikali yetu wrongly tumeipa nguvu ya kua haramia..
Mkuuinaonekana haujui serkal hasa ya tanzania inafanyaje kazi au uko misinformed
ila tanzania hatuna chakujifunza toka kenya..
sorry nshachoka kuandika...watakuja wengine kukuelezea tofauti yetu na kenya
vizuri vya kujifunza vipo.. Na vya kuacha vipo piaWatanzania tuko nyuma kwa mambo mengi, kitu tunachokijua ni mdomo tu.
Maneno mengi na ujuaji mwingi
Wanatozwa kodi utadhani ni watumwa kwenye nchi yao japo hutoona wakilalamika humu jamiiforums ila wakute nje ya humu utadhani sio wao ndio huwa wanashabikia ujinga humu.Kumbe ndiyo maana Wakenya wengi ni mafukara wa kutupwa japo kaGDP kao kanasemekana kametuzd kidogo kumbe ni mzigo wa kodi anaobebeshwa raia zen hzo pesa zinatafunwa na mama ngina pamoja na wakora wenzake, inauma sana[emoji3][emoji3][emoji3]