KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

TRA iko analogy bado. Yaani hata makadirio unaweza kupewa makubwa kuliko mtaji wenyewe.
 
We jamaa huu mjadala ni very constructive unafaa kujifunza kwa ujumla wake......
Ila ulivyouleta hapa Inaonekana tayari unajibu lako kichwani.
Mkuu

Wala hata sio hivyo...

Issue hapa nimejaribu ku pinpoint fundamental differences kati ya mfumo wa Tanzania na Kenya

Kenya ni Free capitalism inayohakikisha free enterprise,private ownership,free innovation na private liberties....

Tanzania ni communism/socialism ambapo watu hawapo free ku enterprise bila kuingiliwa na serikali,na serikali ni corcive force kunyang'anya mali za hawa na kuwapa wale kwa intimidation,hivyo unaua private ownership,free innovation inakufa maana ukiinnovate serikali inavamia kwa direct orders unagawana na the poor,hivyo hakuna incentive ya ku-innovate

Mali binafsi inasaidia watu kufanya kazi kwa bidii kuzalisha mali ambazo ni zao binafsi bila kugawana na mtu maana mwanadamu ni selfish,Kenya ina guarantee hili,Tanzania inakataa mtu kua na private mali na kua selfish...

Kama Tanzania tutafeli kugundua tabia binafsi za wanadamu na kuzi-reward hatutakaa tuweze ku-get the best out of our people...

Kenya mtu mali yake ni yake,ukigusa ni mahakamani na haki inatendeka,Tanzania government by intimidation and coericive force can take anything na mahakama isikusaidie choichote....Hii ni total receipt of failure kujenga GDP ya nchi!
 
Mkuu

Siwezi fanyakazi chini Ya Magufuli maana core belief yake kuhusu serikali na nini maana ya maendeleo ni tofauti kabisa!

Mimi ni believer wa True Capitalism,Private Ownership na Personal Freedoms of citizens...Na yeye anaamini Serikali inatakiwa kua Totalitarian Communist na iwaelekeze citizens what to do and what not to do na kunyang'anya hawa mali zao na kuwapa wale kwa lazima..thats wrong
Hahahaha, ndio sababu nimekuambia wewe unafaa kuwa chini ya Uhuru Kenyatta, uvae mashati ya vitenge na kuzunguka dunia wakati huku nyuma watu wanapiga hela kila idara.

Ila wewe mzee kama hujafikiria kugombea nafasi ya kisiasa fikiria kufanya hivyo miaka ijayo, wewe ni typical African politician[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kodi anayolipa Zuckerberg hailingani na tekash au mange kimambi
iko ivyo dunia nzima matajiri wanalipa juu kuliko maskini

kuhusu tz hatuna cha kujifunza toka kenya kwa tuko tofaut sana kutulinganisha nchi ya kijamaa na kibepari
Unashindwa kuelewa...

Kodi ya Mark ni kubwa zaidi ya Mange Kimambi,yes.....

Serikali ikishachukua hiyo hela inatakiwa kutoa huduma 3 tu,kulinda wananchi wote against internal and external thugs,pili mfumo wa mahakama kuhakikisha contracts between people are enforced,na public good projects,and not otherwise.....Kila kitu kingine binafsisha,hadi viwanja vya makaburi,binafsisha..tena tungekua makaburi bora kabisa kama ya New York State!

Usilete stori ya elimu bure,umeme bure,matibabu bure,etc..Zote kila mtu alipe kwa kadiri ya nguvu zake maana ni huduma,huwezi lipia kufa kwa amani...Hii huduma za za bure ni wanasiasa wanaongea kutumia kodi vibaya kujijengea kura maana kama unatoa elimu bure basi morality hiyo hiyo unaweza tumia kutoa chakula bure kila nyumba..

The whole country ni welfare,which is not the solution ni total failure wanasiasa kujitia they have all the money in this world to feed everybody wakati govt never have its own money bali inachukua money from other people and feed others by stealing through taxes.

Tatizo ni matumizi ya our taxes.....

Taxes zinatumika kuneemesha group fulani la wananchi kwenye nchi kwa kulipa nyumba za bure kwa kuchukua hela kutoka group lingine la watu..Huu ni mfano na Thats stealing
 
We jamaa huu mjadala ni very constructive unafaa kujifunza kwa ujumla wake......
Ila ulivyouleta hapa Inaonekana tayari unajibu lako kichwani.
Hahahaha, huyo jamaa kichwa chake kinapata moto haraka na kujiresi, hivi ukisoma hiyo post yake unaona kuna mtu hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu

Wala hata sio hivyo...

Issue hapa nimejaribu ku pinpoint fundamental differences kati ya mfumo wa Tanzania na Kenya

Kenya ni Free capitalism inayohakikisha free enterprise,private ownership,free innovation na private liberties....

Tanzania ni communism/socialism ambapo watu hawapo free ku enterprise bila kuingiliwa na serikali,na serikali ni corcive force kunyang'anya mali za hawa na kuwapa wale kwa intimidation,hivyo unaua private ownership,free innovation inakufa maana ukiinnovate serikali inavamia kwa direct orders unagawana na the poor,hivyo hakuna incentive ya ku-innovate

Mali binafsi inasaidia watu kufanya kazi kwa bidii kuzalisha mali ambazo ni zao binafsi bila kugawana na mtu maana mwanadamu ni selfish,Kenya ina guarantee hili,Tanzania inakataa mtu kua na private mali na kua selfish...

Kama Tanzania tutafeli kugundua tabia binafsi za wanadamu na kuzi-reward hatutakaa tuweze ku-get the best out of our people...

Kenya mtu mali yake ni yake,ukigusa ni mahakamani na haki inatendeka,Tanzania government by intimidation and coericive force can take anything na mahakama isikusaidie choichote....Hii ni total receipt of failure kujenga GDP ya nchi!
serkali ni msimamizi wa sheria so kama unavunja serkali itaingilia tuu

usnambie wenye city mall au tanga fresh ni serkali....🤔?

hakuna mtu tuu ananyan'ganywa ardhi au mali binafsi pasipo kufata sheria
sheria ya ardhi (fidia
sheria ya uhujumu uchumi (utaifishaji

au ulkua unamaanisha??
 
Unashindwa kuelewa...

Kodi ya Mark ni kubwa zaidi ya Mange Kimambi,yes.....

Serikali ikishachukua hiyo hela inatakiwa kutoa huduma 3 tu,kulinda wananchi wote against internal and external thugs,pili mfumo wa mahakama kuhakikisha contracts between people are enforced,na public good projects,and not otherwise.....Kila kitu kingine binafsisha,hadi viwanja vya makaburi,binafsisha..tena tungekua makaburi bora kabisa kama ya New York State!

Usilete stori ya elimu bure,umeme bure,matibabu bure,etc..Zote kila mtu alipe kwa kadiri ya nguvu zake maana ni huduma,huwezi lipia kufa kwa amani...Hii huduma za za bure ni wanasiasa wanaongea kutumia kodi vibaya kujijengea kura maana kama unatoa elimu bure basi morality hiyo hiyo unaweza tumia kutoa chakula bure kila nyumba..

The whole country ni welfare,which is not the solution ni total failure wanasiasa kujitia they have all the money in this world to feed everybody wakati govt never have its own money bali inachukua money from other people and feed others by stealing through taxes.

Tatizo ni matumizi ya our taxes.....

Taxes zinatumika kuneemesha group fulani la wananchi kwenye nchi kwa kulipa nyumba za bure kwa kuchukua hela kutoka group lingine la watu..Huu ni mfano na Thats stealing
point yako hapa sasa iltakiwa iwe faida za ubepari na ujamaa

kama ndivyo... icho sasa ni kitu kingine
 
serkali ni msimamizi wa sheria so kama unavunja serkali itaingilia tuu

usnambie wenye city mall au tanga fresh ni serkali....🤔?

hakuna mtu tuu ananyan'ganywa ardhi au mali binafsi pasipo kufata sheria
sheria ya ardhi (fidia
sheria ya uhujumu uchumi (utaifishaji

au ulkua unamaanisha??
Sheria za nchi zinaruhusu serikali kufanya huo unyang'anyi....Kenya hazipo...

Kuona serikali haijafanya hivyo does not mean haifanyi....

Makampuni binafsi Tanzania mengi yameuwawa na serikali bila hata kwenda mahakamani..

Unayajua na wala sina muda wa kuyataja..mojawapo ni Fastjet,iliuwawa na serikali in national television mchana kweupe bila court hearing,thats gangsterism!

Kosa kubwa la Tanzania ni mfumo wa ki-communism na kutokua na Rule of Law na kua na sheria mbaya zisizotaka private enterprise na free capitalism....

With all these,kimfumo serikali yetu wrongly tumeipa nguvu ya kua haramia..
 
Unashindwa kuelewa...

Kodi ya Mark ni kubwa zaidi ya Mange Kimambi,yes.....

Serikali ikishachukua hiyo hela inatakiwa kutoa huduma 3 tu,kulinda wananchi wote against internal and external thugs,pili mfumo wa mahakama kuhakikisha contracts between people are enforced,na public good projects,and not otherwise.....Kila kitu kingine binafsisha,hadi viwanja vya makaburi,binafsisha..tena tungekua makaburi bora kabisa kama ya New York State!

Usilete stori ya elimu bure,umeme bure,matibabu bure,etc..Zote kila mtu alipe kwa kadiri ya nguvu zake maana ni huduma,huwezi lipia kufa kwa amani...Hii huduma za za bure ni wanasiasa wanaongea kutumia kodi vibaya kujijengea kura maana kama unatoa elimu bure basi morality hiyo hiyo unaweza tumia kutoa chakula bure kila nyumba..

The whole country ni welfare,which is not the solution ni total failure wanasiasa kujitia they have all the money in this world to feed everybody wakati govt never have its own money bali inachukua money from other people and feed others by stealing through taxes.

Tatizo ni matumizi ya our taxes.....

Taxes zinatumika kuneemesha group fulani la wananchi kwenye nchi kwa kulipa nyumba za bure kwa kuchukua hela kutoka group lingine la watu..Huu ni mfano na Thats stealing
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harafu kuna wajinga unawakuta kule wanashindanisha Kenya na Tanzania.

Licha ya hii nchi kuwa na uongozi mbovu ila kuna watu kucha ni kuisifia tu.

KRA inakusanya sana sababu ni rafiki wa wafanya biashara, leo hii mfanya biashara yoyote akisikia TRA hapa Tanzania, anasikia kuikimbia biashara yake kama sio kuifunga.
 
Unanifurahisha sana pale unapoona kua tuna mfumo bora sana wa serikali...

Huoni matatizo fundamentally ya kimfumo tuliyonayo....

Huoni kabisa,wewe unacheka na unaona tupo sawa kabisa..

Yaani unaona ni safi kabisa mwananchi mchimba madini Mererani anaruka ukuta mita kadhaa,anapigwa risasi kadhaa na bado anavuka mpaka anapeleka madini kuuza Nairobi na sio Dar es Salaam hujiulizi tatizo ni nini na hii nchi?
 
Harafu kuna wajinga unawakuta kule wanashindanisha Kenya na Tanzania.

Licha ya hii nchi kuwa na uongozi mbovu ila kuna watu kucha ni kuisifia tu.

KRA inakusanya sana sababu ni rafiki wa wafanya biashara, leo hii mfanya biashara yoyote akisikia TRA hapa Tanzania, anasikia kuikimbia biashara yake kama sio kuifunga.
Mkuu

Kuna watu humu ukuwaambia hivyo wanageuka vichaa kabisa...

Yaani hawataki kusikia ukweli mchungu....

Lazima tuwaelimishe watu wetu waelewe,Kenya haifanyi uchawi wowote,ni sera na wana implement na kusimamia haswa!
 
Sheria za nchi zinaruhusu serikali kufanya huo unyang'anyi....Kenya hazipo...

Kuona serikali haijafanya hivyo does not mean haifanyi....

Makampuni binafsi Tanzania mengi yameuwawa na serikali bila hata kwenda mahakamani..

Unayajua na wala sina muda wa kuyataja..mojawapo ni Fastjet,iliuwawa na serikali in national television mchana kweupe bila court hearing,thats gangsterism!

Kosa kubwa la Tanzania ni mfumo wa ki-communism na kutokua na Rule of Law na kua na sheria mbaya zisizotaka private enterprise na free capitalism....

With all these,kimfumo serikali yetu wrongly tumeipa nguvu ya kua haramia..
inaonekana haujui serkal hasa ya tanzania inafanyaje kazi au uko misinformed

ila tanzania hatuna chakujifunza toka kenya..

sorry nshachoka kuandika...watakuja wengine kukuelezea tofauti yetu na kenya
 
Mkuu hiyo uliyofanyia comparison ni tax revenue tu..ngoja nikupe mtiririko wa budget yetu uelewe alafu ufanye comparison yako na hao wakenya..

  1. The total collection of Government revenue was 26.13 trillion shillings equivalent to 79% of the total collection target.
  2. Tax revenues reached 14.63 trillion shilling. The growth was attributed to strengthening enforcement of tax laws and proper management of Electronic Fiscal Devices (EFDs); provision of taxpayers’ education and taxpayer services; and strengthening mineral control.
  3. Non-tax revenues amounted to 2.25 trillion shillin
  4. Local Government Authorities (LGAs) own source reached 571.12 billion shillings
  5. Grants and concessional loans disbursed from Development Partners reached 2.41 trillion shillings,This was attributed to Government’s efforts in implementing the underlying principles stipulated in the Development Cooperation Framework (DCF).
  6. Loans from domestic sources including rollover of matured Treasury bills and bonds, reached 4.45 trillion shillings
  7. External non-concessional borrowings reached 1.82 trillion shilling
 
inaonekana haujui serkal hasa ya tanzania inafanyaje kazi au uko misinformed

ila tanzania hatuna chakujifunza toka kenya..

sorry nshachoka kuandika...watakuja wengine kukuelezea tofauti yetu na kenya
Mkuu

Unshajiuliza wewe pia inawezekana ndio ukawa misinformed na wala sio mimi?

Oh yeah,wanadamu tupo biased na what we know,wewe upo informed mimi sipo informed,according to you!

Mimi nipo informed ila sijui about you,na hii ni according to me too!

Unatoa bias na mimi nimetoa my bias!

Hatuiwezi kwenda na biases namna hii...wewe toa sentensi kama hoja then backup na evidence!

Mimi nimetoa hoja kua serikali ya Tanzania kisheria inaruhusiwa kuua makampuni binafsi bila hata kwenda mahakamani....

Nikaweka na mifano.....sasa hizo kampuni hazikuuwawa kweli?

By the way,Airtel ilikua kidogo iuwawe nadhani ikaponea baada ya ku-strike a deal na mtakatifu....

Sheria za nchi zinaruhusu haya yote,na pia hatuna Rule of Law,mahakama zetu sio mahakama,hili unalijua!

Kampuni zote zinaenda Kenya maana kuna guarantee ya rule of law na sheria zao ni free capitalism friendly kwenye misingi yake!

Na by the way,Tanzania tuna ya kujifunza Kenya,Capitalism ipo Kenya,kwetu tuna Socialism,tuna kibarua cha kujifunza capitalism,Kenya have perfected that art..

Tuna kazi ndefu mno ya kujifunza!
 
Kumbe ndiyo maana Wakenya wengi ni mafukara wa kutupwa japo kaGDP kao kanasemekana kametuzd kidogo kumbe ni mzigo wa kodi anaobebeshwa raia zen hzo pesa zinatafunwa na mama ngina pamoja na wakora wenzake, inauma sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Wanatozwa kodi utadhani ni watumwa kwenye nchi yao japo hutoona wakilalamika humu jamiiforums ila wakute nje ya humu utadhani sio wao ndio huwa wanashabikia ujinga humu.
 
Back
Top Bottom