KRA yavunja rekodi kwa kukusanya Kshs 1,607,000,000 kwa hela ya madafu hizo ni kama Tshs 36,961,000,000

Kwani Jubilee iko na mtaji wa percent ngapi?
Huku huwa hatuna wafia vyama, mimi binafsi kwa sasa naichukia Jubilee ila naunga mkono maendeleo ya nchi yangu, nayapigia debe kila uchao.
Nyie huko mnaabudu vyama hata kuliko Mungu, ndio maana mpo 60% msio na elimu ila mnaapa takbir kwa chama.
 
Hahah najua huko hamna wafia vyama ila mpo wafia makabila... hapo unaichukia jubilee sababu yule mkalenjin hapatani na mkikuyu..sasa najua wakikuyu wakianzisha chama kipya bhas Gikuyu yote inahamia huko.
 
Ukabila ni mbaya zaidi ya uvyama.
 
HABARI YAKO INGESOMEKA VIZUR UNGEAMBATANISHA NA HII :
Madaktari Wafanya Mgomo Nairobi
 
Hahah najua huko hamna wafia vyama ila mpo wafia makabila... hapo unaichukia jubilee sababu yule mkalenjin hapatani na mkikuyu..sasa najua wakikuyu wakianzisha chama kipya bhas Gikuyu yote inahamia huko.

Nachukia Jubilee maana kuna baadhi ya matarajio nilikua nayo wakati wanaingia kwenye uongozi, japo wamejaribu pakubwa ila kuna sehemu wamefeli na kusababisha sitaki kuwaskia. Jiepushe kuabudu chama au kiongozi utakua huru sana, hebu ona mlivyo watumwa

Well, unamfahamu nabii Titto? Contextual meaning ya hiyo sms umeipata?
 
Figures za kupika
Nyie subirini mkitangaza kwamba corona imeisha,ndipo mtaanza kuhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…