Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Unajuwa kwa yanayofanyika Tz ndiyo sheria ya kukuza uchumi wa kweli ambayo hata wazungu waliitumia kwa muda mrefu uliopita, hamuwezi mkajenga uchumi zen at the same time mkaenjoy haiwez kuwa sawa, mnapojenga uchumi wa kweli na co wa kwenye makaratasi lazima pesa ipotee lazima ajira iwe ishu kuipata but ROI ikianza ku operate mnaanza kutafuna cake ya taifa as a common good.
Yn kwa walichofanya awamu ya tano kwa hii miaka af bado maisha yakaendelea kuwa magumu miaka mi5 ijayo ntaenda kuchoma moto madaftari yng yote ya A level ya Economics pia hata chuo ntajiona nlienda kucheza na nkipata nafasi ntawaomba uongozi wanivue rasmi elimu waliyonipa cz it's useless.
Uko sahihi mkuu, nyumba ni msingi. Na uchumi ni miundo mbinu na miradi ya kimkakati. Ukiweza kucheza hapo bhas pesa ita flow tu katika shughuli mbali mbali kwa chain kuanzia juu hadi chini. Tofauti na kujenga uchumi wa watu wachache kuhodhi fedha na njia za kiuchumi ambao wakiamua kususa tu au kutoa fedha zao kwenye mzunguko nchi ina tetereka. Au kwa kutumia fedha zao wanaingiza mashinikizo katika uendeshaji wa nchi na upendeleo katika tender na miradi.
Kunatokea mabadiliko na mapinduzi makubwa sana ya kiuchumi, Kesho yetu itakuwa bora sana.