Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuusan hatuko the same, sisi tunafund sectors zetu kama elimu, afya, kilimo etc vizuri na kukopa kwa miradi..nyinyi mnazinyima sectors zenu fedha na kutegemea misaada..our priorities are differentPamoja na majirani kukusanya pesa nzuri kama hyo bado hawana mipango ya kujitegemea kwa walichonacho icho,shida ikiingia kidogo wanakimbilia mikopo kama vile mafukara,hata hivyo unaweza ukapewa pesa mingi ukakosa akili za kutumia
Nafuu yetu iko kwa hawa 66%, hao hapo ndio mtaji
![]()
Tulia ufundishwe mikakati bwana mdogo, haya mambo hayatokei tu kama mfuko wa kinyesi unavyotua tu ovyo juu ya kichwa ya mtu hapo kibera.
Hizo takwimu zimetolewa kimkakati kuendana na muda na wakati tuliopo. Ingekuwa ni hapo ungesikia wakikuyu 100% wanaikubali jubilee..pathetic creatures.
Tunafund 69% ya budget kutoka ndani sasa hatuko the same labda kwa ukubwa wa makusanyo na vipaumbele sio vinginevyoTuusan hatuko the same, sisi tunafund sectors zetu kama elimu, afya, kilimo etc vizuri na kukopa kwa miradi..nyinyi mnazinyima sectors zenu fedha na kutegemea misaada..our priorities are different
Muendelee vivyo hivyo mbele kwa mbele kidumu chama, kijani hoyeee
![]()
Vs[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Muendelee vivyo hivyo mbele kwa mbele kidumu chama, kijani hoyeee
![]()
Hehehe Punguza miraa na chang`aa akili yako inakaa kama bazenga... sasa huko ni ushagoo
hapa ni town kati downtown kasarani
View attachment 1544053
Naona hukuelewa ujumbe wangu au umejitoa ufahamu, ila nawaombea ushindi mwaka huu ili tuendelee hivi hivi maana sijui labda huyo Tundu Lissu anaweza akaja kuwaamsha na kutuondoa kwenye hii raha ambayo huwa tunapata ya kuwakalia.
Hakuna kipindi Wakenya mna hali ngumu km hiki cha JPM mpk imefika kipindi mnatamka hadharani kuwa "Tanzania ni jirani jeuri tumzoee tuishi naye" hapo kiongozi wenu alikuwa anawapa moyo kwamba Magu atapita hvyo tumzoee, mnajua fika kwamba GDP yenu kunuka ilikuwa inachangiwa kwa asilimia kubwa na Tz now inawapasa kupambana bila pato la bure bure kutoka Tanzania.Naona hukuelewa ujumbe wangu au umejitoa ufahamu, ila nawaombea ushindi mwaka huu ili tuendelee hivi hivi maana sijui labda huyo Tundu Lissu anaweza akaja kuwaamsha na kutuondoa kwenye hii raha ambayo huwa tunapata ya kuwakalia.
jpm tena 5yrs,lazima mtage mayai.Naona hukuelewa ujumbe wangu au umejitoa ufahamu, ila nawaombea ushindi mwaka huu ili tuendelee hivi hivi maana sijui labda huyo Tundu Lissu anaweza akaja kuwaamsha na kutuondoa kwenye hii raha ambayo huwa tunapata ya kuwakalia.
Tumewabana kila idara maamaee mazao hakuna tena kupitia kwenu yanatokea hapa yanaenda Europe (hapa baada ya miaka 3 mtatuambia ardhi ya kulima Avocado na kutupita mmeitoa wp), madini hayatoki kizembe, utalii maanina hakuna cha KQ kuwaleta, minofu ya samaki km unavyoona tumeamua km vp bora tuwape ET au Rwandair kuliko nyie pia ucsaau dege letu la mizigo lipo njiani kuja mtatokea wapi nchi maskini nyie mnaotegemea uwakala kwa mali za Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna kipindi Wakenya mna hali ngumu km hiki cha JPM mpk imefika kipindi mnatamka hadharani kuwa "Tanzania ni jirani jeuri tumzoee tuishi naye" hapo kiongozi wenu alikuwa anawapa moyo kwamba Magu atapita hvyo tumzoee, mnajua fika kwamba GDP yenu kunuka ilikuwa inachangiwa kwa asilimia kubwa na Tz now inawapasa kupambana bila pato la bure bure kutoka Tanzania.
Ukiangalia vizuri,hata hayo makusanyo yao ni madogo cz Sisi hatuna viwanda vingi Kama wao pia hatuna ofisi za mashirika ya kimataifa kama wao.so,siku tukiwa na viwanda hata yasu tunavyotegemea kujenga na kuanza full operation,makusanyo yetu yatakuwa hata Mara mbili na yao.Tofauti ya makusanyo kati ya Tanzania na Kenya ni ndogo sana kwa sasa yaani almost tupo sawa
Tanzania inakusanya 1.05T KES
Kenya inakusanya 1.34T KES
View attachment 1543672View attachment 1543673
Alafu yote yanaishia mifukoni mwa mafisadi😆😆😆 nothing to bragg about in here.Huwa tunawatahadharisha muache kushindana na ndovu kunya, mtapasuka kule kule, haka kainchi ketu kadogo hakana madini wala raslimali za asili, na zaidi ya nusu ni kame tupu lakini humu kuna watu wanajituma na kutumia ubongo hadi raha, tunaendelea kuongeza pengo la kiuchumi baina yetu na majirani hadi inakaribia kuwa mara mbili yao. Kweli hauwezi ukapewa vyote, unapewa raslimali unanyimwa ubongo au upewe ubongo unyimwe raslimali, chagua moja basi.
====
The Kenya Revenue Authority (KRA) has hit a new record high in the collection of tax despite the covid-19 pandemic which has seen multiple sectors of the economy shrink.
The authority amassed Ksh 1.607 trillion for the financial year 2019/2020 as compared to Ksh 1.580 trillion collected over the same period between July 2018 and July 2019.
KRA thus collected Ksh 27 billion more, which translates to 97.9% performance rate and 1.7% revenue growth as compared to the 2018/2019 financial year.
Commissioner General, Githii Mburu, stated that taxman also collected Ksh 97.1 billion as Agency Fees.
![]()
Treasury CS Ukur Yattani (right) poses for a photo at Treasury Headquarters, Nairobi on Thursday, June 11, 2020, ahead of Budget 2020/21 presentation
FILE
"This is revenue collected on behalf of other government agencies mainly at the ports of entry. They include Road Maintenance Levy, Airport Revenue, Aviation Revenue, and Petroleum Development Fund amongst other levies," Mburu stated.
The growth was attributed to increased and early remittance from the finance, insurance and manufacturing sectors.
KRA Hits New Record in Tax Collection
- Value Added Tax dropped by 7% while Pay as You Earn (PAYE) grew by 2%. Withholding taxes recorded an 18.2% growth.
The authority, however, still missed its initial target by Ksh 275 billion. The National Treasury under CS Ukur Yattani had targetted a record high of Ksh 1.88 trillion in tax collected.
This explains why Kenya's borrowing level rose. Yattani borrowed over 30% of Kenya's 2.79 trillion budget.
Digital service fees was added as a new tax for the financial year 2020/21, meaning online business transactions will now be taxed at a rate of 1.5 per cent.
The government is also planning to reintroduce the 20% excise duty imposed on betting firms in November 2019. The duty was scrapped off after Kenyatta was shortchanged into signing the Finance Bill 2020.
![]()
Kenya Revenue Authority signage on a building
Mkuu huyu mzee tunasubiri JNHP na sgr vianze kazi zen tukiona positive impact tunamuongeza 10 nyingine huo ndiyo mpango wetu karibu 80% ya WaTz wote cz nchi yetu katiba yetu hatupangiwi maamuzi, hii ndiyo raha ya ujamaa hatuna ujuwaji sie km jamaa flani wa north kila mtu anataka kuwa raisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu huyu mzee tunasubiri JNHP na sgr vianze kazi zen tukiona positive impact tunamuongeza 10 nyingine huo ndiyo mpango wetu karibu 80% ya WaTz wote cz nchi yetu katiba yetu hatupangiwi maamuzi, hii ndiyo raha ya ujamaa hatuna ujuwaji sie km jamaa flani wa north kila mtu anataka kuwa raisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
huko north nimesoma sehem vice president anampiga jungu rais wake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].Mkuu huyu mzee tunasubiri JNHP na sgr vianze kazi zen tukiona positive impact tunamuongeza 10 nyingine huo ndiyo mpango wetu karibu 80% ya WaTz wote cz nchi yetu katiba yetu hatupangiwi maamuzi, hii ndiyo raha ya ujamaa hatuna ujuwaji sie km jamaa flani wa north kila mtu anataka kuwa raisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajuwa kwa yanayofanyika Tz ndiyo sheria ya kukuza uchumi wa kweli ambayo hata wazungu waliitumia kwa muda mrefu uliopita, hamuwezi mkajenga uchumi zen at the same time mkaenjoy haiwez kuwa sawa, mnapojenga uchumi wa kweli na co wa kwenye makaratasi lazima pesa ipotee lazima ajira iwe ishu kuipata but ROI ikianza ku operate mnaanza kutafuna cake ya taifa as a common good.Kwa hivi vitasa tunavyowapa hawa jamaa nitalia sana kama ikitokea tukapata kiongozi asiye na mtizamo, uthubutu na caliber kama ya Magu. Hapa inatakiwa mpera mpera..chuma kinatoka, chuma kinaingia..
Nmeona mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]huko north nimesoma sehem vice president anampiga jungu rais wake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
yaani ni vurumai, kama wanyama.
Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app