Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uelewa finyu, yaani unakariri tu na hata huelewi Govt. Domestic Revenue inamaanisha nini. Tz iliokota Tzshs 23.2Trillion kulingana na hizo takwimu za GoT. Kenya iliokota Tzshs 36.9Trillion.Tofauti ya makusanyo kati ya Tanzania na Kenya ni ndogo sana kwa sasa yaani almost tupo sawa
Tanzania inakusanya 1.05T KES
Kenya inakusanya 1.34T KES
View attachment 1543672View attachment 1543673
Nyie ni makenge. Embu makusanyo yalete tija siyo kudanganywa.Hizi ng'ombe huwa zinakusanya nusu ya hio.
Mkishindwa ndio huwa hamtaki kusumbuliwa. Duh!Kwanini msijilinganishe na Uganda kwani lazima mshindane na Tanzania? Tanzania haiwataki ninyi kausheni tu
Nadhani wewe una ushuzi kwenye ubongo. Unatuwekea ksh 1.3 T ya 2018 na sisi tunakuwekea ksh 1.6 T ya 2020. Wacha bangi kijana.Tofauti ya makusanyo kati ya Tanzania na Kenya ni ndogo sana kwa sasa yaani almost tupo sawa
Tanzania inakusanya 1.05T KES
Kenya inakusanya 1.34T KES
View attachment 1543672View attachment 1543673
Wewe somo la hisabati ulipata ngapi shuleni? Huwezi kuconvert Tsh 36 Trillion into Ksh? Wewe ulienda shule kulala na kukula tu.Yaani kwa mwaka mzima bilion moja za kenya? Mmefeli sana.
Wewe somo la hisabati ulipata ngapi shuleni? Huwezi kuconvert Tsh 36 Trillion into Ksh? Wewe ulienda shule kulala na kukula tu.
Nani kakudanganya mapato yanayokusanywa na KRA pamoja na TRA ni kodi pekee, umejaa funza upstairs ndo maana huwezi hata andika trillion kwa numbers unaandika billion.
View attachment 1543773
Hujui kusoma hata picha huoni angalia total chini hapo, na tunachotaka two years from now mctukaribie kwa chochote labda riadha mana huo mchezo kwetu haupendwi [emoji3][emoji3]Yenu ni 23.2 tri acha bangi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] anabisha huku anajua, roho inamuuma atafanya nini sasa!Hujui kusoma hata picha huoni angalia total chini hapo, na tunachotaka two years from now mctukaribie kwa chochote labda riadha mana huo mchezo kwetu haupendwi [emoji3][emoji3]
Wazee wa kupika data ilimradi waizidi Tz ila mwisho tutaona tu nani kidume cz tunataka kuona reflection ya hyo revenue.[emoji38] [emoji38] [emoji38] anabisha huku anajua, roho inamuuma atafanya nini sasa!!!
nakwambia ukweli brother, kuhusu uchumi wa kenya naanza kupata mashaka, nina uhakika hata wao weneyewe wameanza kupata ukakasi.
Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Uelewa finyu, yaani unakariri tu na hata huelewi Govt. Domestic Revenue inamaanisha nini. Tz iliokota Tzshs 23.2Trillion kulingana na hizo takwimu za GoT. Kenya iliokota Tzshs 36.9Trillion.
Ninyi pamoja na kubamizwa kodi. Mara 2 ya Tanzania kwenye kila kitu lakini bado tunawafukuzaNadhani wewe una ushuzi kwenye ubongo. Unatuwekea ksh 1.3 T ya 2018 na sisi tunakuwekea ksh 1.6 T ya 2020. Wacha bangi kijana.